Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Juzi nilijaribu kufanya hili kwa ma-EX zangu...

Unajihoji na kujibu wewe modes jumbe kama hizzi futeni sio kweli ni kupotezeana time
 
Mie binafsi nimegundua .... Wewe ni jipu.. na Lazima utumbuliwe

Wasichana 11+ nyau wewe
Mkuu Gom mi num nilikuwa napenda sana ulivyokuwa unaimba kwenye lile kundi lenu ila kwa nn ulikuwa unamtreat vibaya yule mwenzenu ila mwisho wa siku akawa demu wako
 
Mkuu Gom mi num nilikuwa napenda sana ulivyokuwa unaimba kwenye lile kundi lenu ila kwa nn ulikuwa unamtreat vibaya yule mwenzenu ila mwisho wa siku akawa demu wako

ahaha,,,umeleta hicho kisa huku eeh?
 
Unaweza ukabaka muda wowote zitakapokuzidi aiseee,kuwa makini
 
Back
Top Bottom