Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Sisi huko ndio tumepata wake zetu tunaoishi nao leoHadi leo kunavipindi vya kutafuta mwanamke au mwanaume wa kuishi naye yani mke au mume na namba zinatolewa.Tupo siriazi kweli au tunachochea umalaya na watoto wa mtaani bila kujielewa?Mi naona heri vipindi vya aina hii viondolewe aliyekuwa siriaz kuoa na kuolewa hawezi kujirahisisha redioni.
MtwaraHizi redio za uchochoroni zimekuwa nyingi. Hiyo safari fm ni ya waMtwara
πππSisi huko ndio tumepata wake zetu tunaoishi nao leo