Juzi nilipambana kuishangilia Taifa star, lkn nazichukia Yanga na Simba

Juzi nilipambana kuishangilia Taifa star, lkn nazichukia Yanga na Simba

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
724
Reaction score
625
Kama kichwa kinavyojipambanua, Mimi sipo kwenye uyanga Wala usimba, washabiki wastaarabu napenda wanavyoelezea hasa wanapobishana. Lakin washabiki wakorofi na wananazi wa hizi timu mbili hajikuta siwachukii , nawachukia wanapoanza kushabikia.

Najikuta nauliza, hivi nchi yetu ni Yanga na Simba tu. Hivi hamuonagi manakera wengine, pale tunapopaa Ulaya, wanapotea kwa sbb kule hakuna ushamba.

Nirudie kusema huu ushabiki unatuharibia timu ya Taifa. Binafsi ninafuraha moyono namna wachezaji wa kulipwa wakina samata, na wengine wanavyoelezea nguvu stars ...nakiri Yanga na Simba wanatupotezea muda na kutupigia kelele...

Haya mwageni povu hapa
 
Back
Top Bottom