Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Shabiki pekee wa UTO ambaye ukiacha UUTOPOLO huwa nakuelewa sana.Yaah makundi mtaenda ila huko ndio mtaenda kupata shida kutokana na Nature ya kikosi cha sasa
Struggle ni nyingi kuliko Good performance
Sometimes lazima tuambiane ukweli na tukubaliane
Leo umeongea point ya maana kabisa ..sikuiti utopoloYaah makundi mtaenda ila huko ndio mtaenda kupata shida kutokana na Nature ya kikosi cha sasa
Struggle ni nyingi kuliko Good performance
Sometimes lazima tuambiane ukweli na tukubaliane
Sawa mama manara aka MLEMAVU WA NGOZISimba ajipange kupindua meza kwa Nkapa
[emoji23][emoji23]Sawa redio mbao sijui redio ya mabox.
Simba ni simba tu linapokuja mechi za kimataifa. Relax!
Cha msingi Simba waweze kutoa draw siyo yale mambo vs kaizer chiefsSimba wanapocheza kwa mara ya kwanza nchi ngeni na timu ngeni huwa wanapata shida sana.
Ni vema kocha apate muda pamoja wachezaji kuufahamu mpira wa timu pinzani ngeni.
Baada ya miaka mingi kuwa nje kimataifa.
Simba ilipo enda Kongo ilikula 5 kaa A.S vita.
Misri ikala 5 na Al-Ahlly
South Afrika ikala 4 na Kaiser Chief.
Beki ya Simba bado hawako vizuri kwenye mipira ya Krosi na Kona, wanashindwa taiming ya kuruka vichwa.
Simba wanapaswa kushambulia na kujilinda kwa umakini mkubwa, wenyeji wao ni wazuri sana uwanjani.
Wakakomae jamaa wanaujua mpira sana.Cha msingi Simba waweze kutoa draw siyo yale mambo vs kaizer chiefs
Nikihakishiwa kuwa wote wanaongea lugha moja(angalau maneno mawili ya kiswahili ndani ya uwanja),wapinzani watapata tabu sana!Niambie vitu gani vya tofauti unatarajia kuviona katika mchezo huu..? Kwa timu zote mbili
Suprise package..[emoji116]
Inonga..Sakho..Banda..Kanoute..Duncan..Mhilu..Kibu..Mwenda..Kisubi Maingizo mapya
Jwaneng Galaxy ni vibonde tu, na ikatokea mkafungwa basi mtakuwa mmefungwa na vibonde
Out of contextJe rivers utd ni vibonde ama nini?
River unitedJwaneng Galaxy ni vibonde tu, na ikatokea mkafungwa basi mtakuwa mmefungwa na vibonde