Jwaneng Galaxy vs Simba Sc Tathmini ya JF

Jwaneng Galaxy vs Simba Sc Tathmini ya JF

Yaah makundi mtaenda ila huko ndio mtaenda kupata shida kutokana na Nature ya kikosi cha sasa

Struggle ni nyingi kuliko Good performance

Sometimes lazima tuambiane ukweli na tukubaliane
Leo umeongea point ya maana kabisa ..sikuiti utopolo

Msimu huu Simba itastruggle sn

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Simba wanapocheza kwa mara ya kwanza nchi ngeni na timu ngeni huwa wanapata shida sana.

Ni vema kocha apate muda pamoja wachezaji kuufahamu mpira wa timu pinzani ngeni.

Baada ya miaka mingi kuwa nje kimataifa.
Simba ilipo enda Kongo ilikula 5 kaa A.S vita.
Misri ikala 5 na Al-Ahlly
South Afrika ikala 4 na Kaiser Chief.

Beki ya Simba bado hawako vizuri kwenye mipira ya Krosi na Kona, wanashindwa taiming ya kuruka vichwa.
Simba wanapaswa kushambulia na kujilinda kwa umakini mkubwa, wenyeji wao ni wazuri sana uwanjani.
 
Simpangii kocha
1. Manura
2. Wawa
3. Hussein
4. Kennedi juma
5. Lwanga
6. Onyango
7. Duncan Nyoni
8. Kannutte
9. Kagere
10. Kibu Denis
11. Dilunga

Substitute, Kakolanya, Kapombe
Mugalu, Boko, Bwalya, Inonga, Mkude.
hapa utapigwa mpira wenye kasi kubwa na ulinzi imara kabisa.

Morrison ni mchezaji mzuri ila hayuko siaz, ningekuwa kocha angesugua benchi hadi ajitambue kuwa yupo simba kucheza kwa ajiri ya kuleta matokeo na sio kujifurahisha.
 
Simba wanapocheza kwa mara ya kwanza nchi ngeni na timu ngeni huwa wanapata shida sana.

Ni vema kocha apate muda pamoja wachezaji kuufahamu mpira wa timu pinzani ngeni.

Baada ya miaka mingi kuwa nje kimataifa.
Simba ilipo enda Kongo ilikula 5 kaa A.S vita.
Misri ikala 5 na Al-Ahlly
South Afrika ikala 4 na Kaiser Chief.

Beki ya Simba bado hawako vizuri kwenye mipira ya Krosi na Kona, wanashindwa taiming ya kuruka vichwa.
Simba wanapaswa kushambulia na kujilinda kwa umakini mkubwa, wenyeji wao ni wazuri sana uwanjani.
Cha msingi Simba waweze kutoa draw siyo yale mambo vs kaizer chiefs
 
Ni kweli Simba wamepangwa na kibonde sana. Botswana hawana asili ya mpira ktk Afrika hivyo Simba wakifuzu makundi hawatakuwa na cha kujivunia.
 
Nawatakia Kila lakheri Jwaneng Galaxy katika mchezo wao dhidi ya Makolo​

Makolo muli bwanji, Makolo ndii muche​

Hii game ni ngumu na ni kali maana wachezaji wa simba wameonekana moto sana kutaka kuonesha ukubwa wao.

Simba atashinda ugenini na nyumbani atashinda kwa kuwa kwa sasa wamekuwa wa masiiifa sana hasa huyu kipa wao na viungo wao.
Pia Ajibu anataka kufanya kufuru safari hii Kocha ana kazi mno safari hii hadi namuonea huruma.
Bwalya na Ajibu wanatisha safari hii kocha mwenyewe kainua miguu juu.

Jamani mnyama anatisha safari hii.
 
Niambie vitu gani vya tofauti unatarajia kuviona katika mchezo huu..? Kwa timu zote mbili

Suprise package..[emoji116]
Inonga..Sakho..Banda..Kanoute..Duncan..Mhilu..Kibu..Mwenda..Kisubi Maingizo mapya
Nikihakishiwa kuwa wote wanaongea lugha moja(angalau maneno mawili ya kiswahili ndani ya uwanja),wapinzani watapata tabu sana!

Wachezaji wengine waongeze kasi baada ya kuvuka nusu ya uwanja,kupata magoli ya ugenini
Itakuwa jambo la kawaida kila wanapotoka nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom