Jwaneng walitumia nini kumfunga Wydad?

Jwaneng walitumia nini kumfunga Wydad?

Jbst

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,971
Reaction score
4,085
Kwa mpira wanaocheza hawa wa bostwana hawana tofauti na team nyingi hapa nchini ndogo ndogo. Hawa jamaa wanacheza 4 4 2 lkn haieleweki ni 4 4 2 ya aina gn!!

Hii team itakua kweli ilitumia uchawi kushinda dhidi ya wydad kama wanavyotuhumiwa. Hii team ni mbovu sana.

Angalizo inaweza kufuzu hili kundi ila sio kwa uwezo labda kwa mambo mengine ya nje ya uwanja. Hii team ni mbovu sana inacheza kama team ya shule.

Angalia mechi ya wydad na asec , hao asec hawajshinda kwa ngekewa wameupiga mpira kweli kweli na wakashinda.

Jwaneng galaxy hakuna team pale
 
Si amesema ni uchawi, au hujui kusoma vizuri
Ukiangalia Simba jana amepambana sana tofauti na michezo ya hivi karibuni anavyocheza! Jana kama Simba angecheza kama alivyocheza michezo iliyopita angefungwa zaidi ya goli, angalieni Simba akiwa amepoteza mpira anavyoutafuta kwa nguvu tofauti na michezo mingine! Mfano mzuri Onana alikua anashuka na kupanda na alikua anakaba! Yote kwa yote Wydad alifungwa kwa halali wala sio nguvu za giza! Wale Galaxy ni wazuri kuziba mianya huwezi kuwafunga kirahisi na pia golikipa wao yuko vizuri sana!
 
Nimeona mechi ya Jana asec na wydad , wydad walikuwa Wachovu Kuliko au sawa na Al mereikh .
Wydad inacheza bila malengo bila ku press Kama ilivyozoeleka , tofauti kabisa na wydad ilicheza fainali za caf cl na afl.

Nafikiri aidha ni uchovu uliopitiliza kwa wachezaji baada ya mashindano ya afl au kuna majeruhi kadhaa ya wachezaji muhimu hawapo .

Hata makolo mechi ya Jana angeweza kushinda au Sare dhidi ya wydad , sijui huko mbeleni labda watabadilika
 
Ww umeangalia mpira upi ww? Hiyo mechi ya wydad uliangalia?

Nimekutolea mfano mechi ya jana asec na wydad. Asec kashinda na mpira kaucheza umeonekana. Hao jwaneng ni wabovu sana hata mfumo wanaocheza haueleweki.

Mfano jana wamecheza 4 4 2 ila ukiangalia hakukuwa na mfumo wa kueleweka wanaoucheza. Na pia hao jwaneng hawana uwezo wowte wa kuziba mianya simba walikua wanawafungua sana tu na wamejaa huko nyuma wanafunguka .

Sasa uasemaje wanajua kuziba mianya? Hii team ni mbovu sana kwa kila kitu. Me sio shabiki wa simba nazungumza haya
 
Nimeona mechi ya Jana asec na wydad , wydad walikuwa Wachovu Kuliko au sawa na Al mereikh .
Wydad inacheza bila malengo bila ku press Kama ilivyozoeleka , tofauti kabisa na wydad ilicheza fainali za caf cl na afl.

Nafikiri aidha ni uchovu uliopitiliza kwa wachezaji baada ya mashindano ya afl au kuna majeruhi kadhaa ya wachezaji muhimu hawapo .

Hata makolo mechi ya Jana angeweza kushinda au Sare dhidi ya wydad , sijui huko mbeleni labda watabadilika
Wydad hatua hizi wakiwa away ndo huwa wanacheza hivo. Kama unakumbuka hata taifa ilikua hivo ila wakiingia mtoano tu hawachezi hivo tena
 
Mpira ndivyo ulivyo. Hata mbabe wa Yanga alikandwa vizuri na yule tuliyemuona ni kibonde wa kundi.
 
Nimeona mechi ya Jana asec na wydad , wydad walikuwa Wachovu Kuliko au sawa na Al mereikh .
Wydad inacheza bila malengo bila ku press Kama ilivyozoeleka , tofauti kabisa na wydad ilicheza fainali za caf cl na afl.

Nafikiri aidha ni uchovu uliopitiliza kwa wachezaji baada ya mashindano ya afl au kuna majeruhi kadhaa ya wachezaji muhimu hawapo .

Hata makolo mechi ya Jana angeweza kushinda au Sare dhidi ya wydad , sijui huko mbeleni labda watabadilika
Uchovu na sitashangaa msimu ujao team zikiamua au kuwekeza kwenye AFL au Cafcl na sio vyote wachezaji wako hoi sana hata Mamelody mwenyewe yuko hoi
 
Ukiangalia Simba jana amepambana sana tofauti na michezo ya hivi karibuni anavyocheza! Jana kama Simba angecheza kama alivyocheza michezo iliyopita angefungwa zaidi ya goli, angalieni Simba akiwa amepoteza mpira anavyoutafuta kwa nguvu tofauti na michezo mingine! Mfano mzuri Onana alikua anashuka na kupanda na alikua anakaba! Yote kwa yote Wydad alifungwa kwa halali wala sio nguvu za giza! Wale Galaxy ni wazuri kuziba mianya huwezi kuwafunga kirahisi na pia golikipa wao yuko vizuri sana!
Wewe uliona Simba kacheza vizuri kulingana na timu aliyokuwa anacheza nayo, ubovu wa jwaneng umefanya Simba ionekane imecheza vizuri lakini Simba ni Ile Ile tu akuna Cha ziada walichoonyesha, pamoja na jwaneng kuziba mianya bado Simba alikuwa anaingia kwenye box lao na kutengeneza nafasi kwaiyo uwezi kusema eti jwaneng ni Bora kuziba mianya wakati mianya ilikuwepo mingi tu isipokuwa tunarudi pale pale Simba ni mbovu tu
 
Jana kuna mchezaji wao white hivi aliingia amepaka majivu upande mmoja wa paji la uso nikajua hapa hatutoboi 🤣😂🤣

Yanga wenyewe mganga wao jana kalimwa kadi nyekundu, famchezo nini 🤣😂🤣
Fikra na Imani za namna Hiyo zitazidi kuiporomosha makolo angalia clip ya zamoyoni mogela mchezaji wa zamani wa timu inaitwa mbumbumbu .
Mpira ni ufundi , mazoezi na uwekezaji.
Hata mulipochoma uwanja wa watu hakuna ushindi ulipatikana kule jo’burg
 
Anasema mtu anayeshabikia timu ambayo inaingia uwanjani kwa kuruka ukuta, inavamia vyumba vya timu pinzani na kuwamwagia maji ya maiti, wachezaji wake hadi kocha wanafanya ishara za kishirikina uwanjani.

Neno linakuita wewe ni Mnafiki! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako.
 
Wewe uliona Simba kacheza vizuri kulingana na timu aliyokuwa anacheza nayo, ubovu wa jwaneng umefanya Simba ionekane imecheza vizuri lakini Simba ni Ile Ile tu akuna Cha ziada walichoonyesha, pamoja na jwaneng kuziba mianya bado Simba alikuwa anaingia kwenye box lao na kutengeneza nafasi kwaiyo uwezi kusema eti jwaneng ni Bora kuziba mianya wakati mianya ilikuwepo mingi tu isipokuwa tunarudi pale pale Simba ni mbovu tu
Simba kweli ni mbovu ila upambanaji umeongezeka tofauti na mechi mbili tatu zilizopita!
 
Nimeona mechi ya Jana asec na wydad , wydad walikuwa Wachovu Kuliko au sawa na Al mereikh .
Wydad inacheza bila malengo bila ku press Kama ilivyozoeleka , tofauti kabisa na wydad ilicheza fainali za caf cl na afl.

Nafikiri aidha ni uchovu uliopitiliza kwa wachezaji baada ya mashindano ya afl au kuna majeruhi kadhaa ya wachezaji muhimu hawapo .

Hata makolo mechi ya Jana angeweza kushinda au Sare dhidi ya wydad , sijui huko mbeleni labda watabadilika
Msimu uliopita Al ahly na wydad wote walifuzu kwenda robo fainali kupitia tundu la sindano, yaani hawakuwa na mwenendo mzur kwenye mechi za awali za makundi, cha ajabu hao hao ndio wakakipiga fainali.

Wydad wanacheza hvo hvo hata Al ahly nao huo ndio huwa utaratibu wao ila wanakuwa wabaya kadri mechi muhimu zinavyosogea.

Kumbuka robo fainali ya wydad na simba, watu wakajua nusu fainal wydad atapigwa vibaya na mamelod lakin kilichotokea kinafahamika.

Kumbuka mech ya Al hilal na mamelod pale Sudan, mameloda walipambana wafungwe ili Al ahly asiingie robo maana wanamjua majini yake ikishafika robo fainali, bht mby au nzur Al hilal akakosa penat na kupa nafas Al ahly ya kufuzu kwa kipigo Cha 5 pale cairo, baada ya hapo, Al ahl hao hao ndio wakanyanyua kwapa pale morocco
 
Anasema mtu anayeshabikia timu ambayo inaingia uwanjani kwa kuruka ukuta, inavamia vyumba vya timu pinzani na kuwamwagia maji ya maiti, wachezaji wake hadi kocha wanafanya ishara za kishirikina uwanjani.

Neno linakuita wewe ni Mnafiki! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako.
Kwenye upande wa Neno upo sahihi , lakini ni bora ujikite kuangalia madhaifu ya kiufundi hivyo vingine havina nafasi Kwenye Mpira .

Embu nieleweshe kocha alifanya ishara zipi na ilikuwa mechi gani ndugu .
Shutuma ziambatate na ushaidi watu wajadili na Kama ni ile ya kukagua uwanja basi timu zikatazwe kufanya hivyo
 
Tusijaze seva kwa ubishani usio na maana
 
Wewe uliona Simba kacheza vizuri kulingana na timu aliyokuwa anacheza nayo, ubovu wa jwaneng umefanya Simba ionekane imecheza vizuri lakini Simba ni Ile Ile tu akuna Cha ziada walichoonyesha, pamoja na jwaneng kuziba mianya bado Simba alikuwa anaingia kwenye box lao na kutengeneza nafasi kwaiyo uwezi kusema eti jwaneng ni Bora kuziba mianya wakati mianya ilikuwepo mingi tu isipokuwa tunarudi pale pale Simba ni mbovu tu
Akili hizo hizo ndo mlizitumia kusema Al ahly atakufa nyingi eti kiss kadraw mech mbili na simba, hamjui kuwa uchezaji wa Simba ndo unakuaga hivyo hivyo kwenye hizi mechi, ukitaka kumiliki mechi miliki wenzako watakufunga ili useme wametufunga lakn chenga tumewala

Mwenzio jwaneng alicheza papatu papatu akamyoosha wydad na Sasa anaongoza kundi, usiseme wydad mbov maana hata Al ahly mlisema mbov lakin kwa Jana mmeona mziki ulivyo

USHAURI
Kundi alilopo yanga timu hatari zaidi n belouzdad, shangaa nae kafa kwa medeama, hii ni alert kwa yanga wabadilike kiuchezaji maana usitegemee kuwa Al ahly ataishia makundi, na Kama ndo hivyo, maana yake yanga apambane na belouzdad kugombana nafas moja wapo kuungana na Al ahly huku tukiitrack vizur surprise ya medeama

Kumbuka surprise ya Simba mwana 2018 mbele ya Al ahly na as vita, Simba aliyeitwa underdog ndo alifuzu, na Sasa medeama aliyeitwa underdog nae haonyeshi dalili yoyote ya unyonge

@CAFCL
 
Back
Top Bottom