Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Kwa mpira wanaocheza hawa wa bostwana hawana tofauti na team nyingi hapa nchini ndogo ndogo. Hawa jamaa wanacheza 4 4 2 lkn haieleweki ni 4 4 2 ya aina gn!!
Hii team itakua kweli ilitumia uchawi kushinda dhidi ya wydad kama wanavyotuhumiwa. Hii team ni mbovu sana.
Angalizo inaweza kufuzu hili kundi ila sio kwa uwezo labda kwa mambo mengine ya nje ya uwanja. Hii team ni mbovu sana inacheza kama team ya shule.
Angalia mechi ya wydad na asec , hao asec hawajshinda kwa ngekewa wameupiga mpira kweli kweli na wakashinda.
Jwaneng galaxy hakuna team pale