Si amesema ni uchawi, au hujui kusoma vizuriKwahiyo ikawaje mkashindwa kuwafunga?
Ukiangalia Simba jana amepambana sana tofauti na michezo ya hivi karibuni anavyocheza! Jana kama Simba angecheza kama alivyocheza michezo iliyopita angefungwa zaidi ya goli, angalieni Simba akiwa amepoteza mpira anavyoutafuta kwa nguvu tofauti na michezo mingine! Mfano mzuri Onana alikua anashuka na kupanda na alikua anakaba! Yote kwa yote Wydad alifungwa kwa halali wala sio nguvu za giza! Wale Galaxy ni wazuri kuziba mianya huwezi kuwafunga kirahisi na pia golikipa wao yuko vizuri sana!Si amesema ni uchawi, au hujui kusoma vizuri
Ww umeangalia mpira upi ww? Hiyo mechi ya wydad uliangalia?Ukiangalia Simba jana amepambana sana tofauti na michezo ya hivi karibuni anavyocheza! Jana kama Simba angecheza kama alivyocheza michezo iliyopita angefungwa zaidi ya goli, angalieni Simba akiwa amepoteza mpira anavyoutafuta kwa nguvu tofauti na michezo mingine! Mfano mzuri Onana alikua anashuka na kupanda na alikua anakaba! Yote kwa yote Wydad alifungwa kwa halali wala sio nguvu za giza! Wale Galaxy ni wazuri kuziba mianya huwezi kuwafunga kirahisi na pia golikipa wao yuko vizuri sana!
Wydad hatua hizi wakiwa away ndo huwa wanacheza hivo. Kama unakumbuka hata taifa ilikua hivo ila wakiingia mtoano tu hawachezi hivo tenaNimeona mechi ya Jana asec na wydad , wydad walikuwa Wachovu Kuliko au sawa na Al mereikh .
Wydad inacheza bila malengo bila ku press Kama ilivyozoeleka , tofauti kabisa na wydad ilicheza fainali za caf cl na afl.
Nafikiri aidha ni uchovu uliopitiliza kwa wachezaji baada ya mashindano ya afl au kuna majeruhi kadhaa ya wachezaji muhimu hawapo .
Hata makolo mechi ya Jana angeweza kushinda au Sare dhidi ya wydad , sijui huko mbeleni labda watabadilika
Uchovu na sitashangaa msimu ujao team zikiamua au kuwekeza kwenye AFL au Cafcl na sio vyote wachezaji wako hoi sana hata Mamelody mwenyewe yuko hoiNimeona mechi ya Jana asec na wydad , wydad walikuwa Wachovu Kuliko au sawa na Al mereikh .
Wydad inacheza bila malengo bila ku press Kama ilivyozoeleka , tofauti kabisa na wydad ilicheza fainali za caf cl na afl.
Nafikiri aidha ni uchovu uliopitiliza kwa wachezaji baada ya mashindano ya afl au kuna majeruhi kadhaa ya wachezaji muhimu hawapo .
Hata makolo mechi ya Jana angeweza kushinda au Sare dhidi ya wydad , sijui huko mbeleni labda watabadilika
Wewe uliona Simba kacheza vizuri kulingana na timu aliyokuwa anacheza nayo, ubovu wa jwaneng umefanya Simba ionekane imecheza vizuri lakini Simba ni Ile Ile tu akuna Cha ziada walichoonyesha, pamoja na jwaneng kuziba mianya bado Simba alikuwa anaingia kwenye box lao na kutengeneza nafasi kwaiyo uwezi kusema eti jwaneng ni Bora kuziba mianya wakati mianya ilikuwepo mingi tu isipokuwa tunarudi pale pale Simba ni mbovu tuUkiangalia Simba jana amepambana sana tofauti na michezo ya hivi karibuni anavyocheza! Jana kama Simba angecheza kama alivyocheza michezo iliyopita angefungwa zaidi ya goli, angalieni Simba akiwa amepoteza mpira anavyoutafuta kwa nguvu tofauti na michezo mingine! Mfano mzuri Onana alikua anashuka na kupanda na alikua anakaba! Yote kwa yote Wydad alifungwa kwa halali wala sio nguvu za giza! Wale Galaxy ni wazuri kuziba mianya huwezi kuwafunga kirahisi na pia golikipa wao yuko vizuri sana!
AaahaaaKwahiyo ikawaje mkashindwa kuwafunga?
Fikra na Imani za namna Hiyo zitazidi kuiporomosha makolo angalia clip ya zamoyoni mogela mchezaji wa zamani wa timu inaitwa mbumbumbu .Jana kuna mchezaji wao white hivi aliingia amepaka majivu upande mmoja wa paji la uso nikajua hapa hatutoboi 🤣😂🤣
Yanga wenyewe mganga wao jana kalimwa kadi nyekundu, famchezo nini 🤣😂🤣
Anasema mtu anayeshabikia timu ambayo inaingia uwanjani kwa kuruka ukuta, inavamia vyumba vya timu pinzani na kuwamwagia maji ya maiti, wachezaji wake hadi kocha wanafanya ishara za kishirikina uwanjani.Fikra na Imani za namna Hiyo zitazidi kuiporomosha makolo angalia clip ya zamoyoni mogela mchezaji wa zamani wa timu inaitwa mbumbumbu .
Mpira ni ufundi , mazoezi na uwekezaji.
Hata mulipochoma uwanja wa watu hakuna ushindi ulipatikana kule jo’burg
Simba kweli ni mbovu ila upambanaji umeongezeka tofauti na mechi mbili tatu zilizopita!Wewe uliona Simba kacheza vizuri kulingana na timu aliyokuwa anacheza nayo, ubovu wa jwaneng umefanya Simba ionekane imecheza vizuri lakini Simba ni Ile Ile tu akuna Cha ziada walichoonyesha, pamoja na jwaneng kuziba mianya bado Simba alikuwa anaingia kwenye box lao na kutengeneza nafasi kwaiyo uwezi kusema eti jwaneng ni Bora kuziba mianya wakati mianya ilikuwepo mingi tu isipokuwa tunarudi pale pale Simba ni mbovu tu
Msimu uliopita Al ahly na wydad wote walifuzu kwenda robo fainali kupitia tundu la sindano, yaani hawakuwa na mwenendo mzur kwenye mechi za awali za makundi, cha ajabu hao hao ndio wakakipiga fainali.Nimeona mechi ya Jana asec na wydad , wydad walikuwa Wachovu Kuliko au sawa na Al mereikh .
Wydad inacheza bila malengo bila ku press Kama ilivyozoeleka , tofauti kabisa na wydad ilicheza fainali za caf cl na afl.
Nafikiri aidha ni uchovu uliopitiliza kwa wachezaji baada ya mashindano ya afl au kuna majeruhi kadhaa ya wachezaji muhimu hawapo .
Hata makolo mechi ya Jana angeweza kushinda au Sare dhidi ya wydad , sijui huko mbeleni labda watabadilika
Kwenye upande wa Neno upo sahihi , lakini ni bora ujikite kuangalia madhaifu ya kiufundi hivyo vingine havina nafasi Kwenye Mpira .Anasema mtu anayeshabikia timu ambayo inaingia uwanjani kwa kuruka ukuta, inavamia vyumba vya timu pinzani na kuwamwagia maji ya maiti, wachezaji wake hadi kocha wanafanya ishara za kishirikina uwanjani.
Neno linakuita wewe ni Mnafiki! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako.
Tusijaze seva kwa ubishani usio na maanaKwenye upande wa Neno upo sahihi , lakini ni bora ujikite kuangalia madhaifu ya kiufundi hivyo vingine havina nafasi Kwenye Mpira .
Embu nieleweshe kocha alifanya ishara zipi na ilikuwa mechi gani ndugu .
Shutuma ziambatate na ushaidi watu wajadili na Kama ni ile ya kukagua uwanja basi timu zikatazwe kufanya hivyo
Akili hizo hizo ndo mlizitumia kusema Al ahly atakufa nyingi eti kiss kadraw mech mbili na simba, hamjui kuwa uchezaji wa Simba ndo unakuaga hivyo hivyo kwenye hizi mechi, ukitaka kumiliki mechi miliki wenzako watakufunga ili useme wametufunga lakn chenga tumewalaWewe uliona Simba kacheza vizuri kulingana na timu aliyokuwa anacheza nayo, ubovu wa jwaneng umefanya Simba ionekane imecheza vizuri lakini Simba ni Ile Ile tu akuna Cha ziada walichoonyesha, pamoja na jwaneng kuziba mianya bado Simba alikuwa anaingia kwenye box lao na kutengeneza nafasi kwaiyo uwezi kusema eti jwaneng ni Bora kuziba mianya wakati mianya ilikuwepo mingi tu isipokuwa tunarudi pale pale Simba ni mbovu tu