JWTZ cyber warfare unit

Ningekuwa huko, ningevitesa sana hivi vItovuti vya JWTZ....


 
Uwezo wa cyber security wautoe wapi Ndugu yangu wakati umesikia wako mahakamani tangu Jana wanaiomba imuamuru mtuhumiwa awape password…Hilo ni jibu tosha la uwezo wa vyombo vyetu linapokuja jambo la cyber security.
Hii kama ilikuwa ni kweli ni aibu.
 
Na hizo pagers mossad walikaa kimya hakuna yeyote duniani nje na circle yao aliyejua ! Wakaja kuzitumia (detonate) kwa wakati sahihi.
 
Hatuvunji tu matofali bro, tuko vizuri IT
 
Majeshi ya Tanzania bado yanaamini kwenye matumizi makubwa mnoooo ya physical energy. Sambamba na hilo wengi wao uwezo wa kufikiri umeshadumaa, wengi wamebaki kuwa machawa wa CCM. Na wazalendo kama Major General Nkunda hawasikilizwi na chura kiziwi
 
Ukiona nchi inanunua silaha za kujilinda kutoka nchi nyingine ujue safari yao bado ndefu
 
usalama wa taifa tz sio secret societ tena hawana siri kabisa na wanapenda ngono huo ni moja ya udhaifu wao wajitafakari kwa kweli wana mambo mengi ya kurekebisha
 
Niliwah kusikia kipindi kikwete anamalizia muhula wake alikuwa na mpango wa kuboresha jeshi badala ya kuajiri wanajeshi wengi na kuwa na jeshi lililobobea kwa vita ya msituni tuwe na jeshi lililobobea kitaalam yaani kama unapigana na nchi nyingine si lazima uingie msituni unaizoom kwenye mitambo unatuma drone au unalipua kwa makombora ya masafa ukiwa mbali.

Sijui huo mpango uliishia wapi naona tu kama jeshi letu ndo walewale wazee wa kutumia nguvu nyingi wakati tekinolojia imeshafika mbali sana.
 
Ukiwa nje huwezi jua yaliyomo ndani ya Majeshi yetu,na ukitaka kuyajua yaliomo njoo ndani ya Majeshi, na utashangaa na hutoaamini macho na masikio yako!!
 
Mkusanyiko wa makada tu
 
Unaleta u ccm na ukada kila mahali, taco laco
Kuna mtu ameniambia kuna kina dada huwa wanafanya biashara mtandaoni akishakufuata kwenye posti yako halafu anakuelekeza pm hivyo leo amenitokea na asubuhi wacha nimsikilize!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…