Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Umemaliza Kila kitu mkuu.Angalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza Kila kitu mkuu.Angalia mtaani kwenu au ata kwenu kijijini nature ya watu wanao kuwa recruited Jwtz alafu ufanye generalisation kisha udraw conclusion.
Kama kuna mauwaji alafu simu ikachukuliwa na wauwaji,ndani ya muda mfupi wanakamatwa kupitia simu!!Hujataka tu....wanaweza ila utaliwa hela bure...uambiwe iko arusha utoe nauli...
Baada siku 3 utaambiwa yuko dodoma utoe tena huo ndio ujinga sasa simu ya laki 3 unaitafuta kwa laki 2.5....ujinga bora utafute ingine.....wanatupiga deal
kisheria kuna kitu kinaitwa "right not to self incriminate" - Kila mtu ana haki hiyo ukiwemo wewe. sasa polisi waje wakukamate halafu wakuambie toa password ili tukuchunguze, hiyo umewahi kuisikia wapi humu duniani?Kwa nini imekua ngumu wakati swala lipo kwenye uchunguzi!? Je kwa kuficha password huoni kama ni hijuma hiyo ili uchunguzi ufeli!!??
mambo ya jeshi hayakuhusu kwa sababu wewe sio mwanajeshi, unataka ujue kila kitu cha jeshi ili iweje?