JWTZ fungukeni macho mnahujumiwa

Huyu alikuwa anazungumzia operation ya M23 Bila shaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-- Naviamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, serikali yetu iko sensitive sana katika secta hiyo ndo maana hata mataifa mengi yanaiamini nchi yetu ndo maana wanaleta vijana wao kupata mafunzo
Serikali tutaisema kwa yoooooteeee sio hili la jwtz naiamini Sana
 
afadhari wewe ndio maana viongozi wa hivi vyuo wengi ni mamilionea maana hudili na wanafunzi wenye hela
 
Hongera mkuu kwa kutimiza jukumu lako achana na wapumbavu..ni matumaini yangu Kuwa mamlaka husika zitafuatilia suala hili katka ulinzi hakuna taarifa inayopuuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A
Acha fitina na chuki zako. Hivi wewe unadhani taasisi hiyo ni ya kuchezea cheza kama siasa??
Kama kawaida yetu midomo yetu imekuwa tarumbeta ya kuimbia hata ngoma ya mchiriku.
'Usilolijua ni usiku wa kiza'
 
Taarifa yako ni nzuri ila una kiswahili kigumu mnoo!
 
Du!
 
Ulichosema nahisi kina mantiki flani na Utendekaji wa mafunzo kwa sasa katika baadhi ya camp hapa Tz . but si vyema mambo ya Jeshi kujadiliwa na raia wasiokula yamin .
Haya Mambo ulipaswa kupeleka sehemu husika kwa njia nzuri na salama si vyema kuleta Mambo mazito huku kwa nangaz umeharibu utatoa info kea adui
 
Ila sijaelewa huo utakatishaji unavyofanywa, yaani wanafunzi wanachangishwa kati ya 300k na 500k...zinakusanywa na wakuu wa vyuo....sasa zile ela zinazotoka kwenye huyo jirani mkorofi zinamfikiaje mkuu wa chuo!?
 
Kwa mnavyojua kozi za jwtz; watu wanavyoanza kozi huwa hawapelekwa kasi sana mpaka wanatamani kukimbia; ndo wanakalishwa chini wawe wanachanga kiasi fulani cha pesa ili usiku wakeshe wamelala bila kula doso
 
Kwahili ondoeni hofu kabisaa jeshini hakuna kitu cha namna hiyo. Na mtu kuwa mkuu wa chuo cha mafunzo ya kijeshi Tanzania basi ujue huyo mtu hana siri yoyote moyoni mwake/kichwani mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…