JWTZ inatarajia kufanya mazoezi mawili ya kijeshi hivyo imewataka wananchi kutokuwa na hofu

Huu ni uwaribifu wa pesaa,mazoezi na practical waende gongo wakawachape m23 ndo kujipimaaa vizuri
Ndio Maana Rwanda wakisikia mahali penye vita huwa wanatangulia mstari wa Mbele.

Jeshi ni experince in the field sio miaka mingi ya kuwa kazini.
 
Vimemo ni kawaida, Museven ana mtoto wake jeshini pale Uganda na cheo kampa, Kagame ana mtoto wake jeshini na sasa ana cheo kikubwa, kwahiyo acha hoja dhaifu muhimu anazo sifa
Wale madikteta wanafanya hivyo kujilinda tu nothing else.
 
Viongozi wakisafiri wanaenda na wasanii na machawa unategemea nini hapo

Ova
Ni jambo la kufikirisha kwa kweli
Huwa nadhani kuna laana ya aina flani inatutafuna kwa sababu ya wachache

Haya wasanii wamerudi na nini walipoenda
 

..tumeshindwa katika uwanja wa mapambano.

..mission tuliyotumwa kuitekeleza imefeli.

..tuangalie mapungufu yetu ni yapi, na tujisahihishe.

..Tatizo linaweza kuwa ni Amiri Jeshi Mkuu, Cdf, CoS, Dir of Mil Inteligence, CO wa operation, uhaba wa nyenzo, askari wachache, etc.

..Tumeshindwa, tunapaswa kujifunza na kujirekebisha.
 
Sasa askari wetu wako wangapi kule ? yaani jeshi la DRC linakimbia mnataka askari wetu wajitoe kufa kijinga, mimi ningekuwa Rais hakuna askari wetu kwenda kule,huwezi kutetea nchi ya watu wasio jitetea wenyewe kwanza

..kwa hiyo askari wetu nao wangekimbia?
 
Imeshindwa SADC sio Tanzania, acha kutulazimisha kitu ambacho hakipo, siku vita ikiwa yetu hapo unaweza kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…