Wewe ni chanzo cha ndani. Na walio ndani, wengi ni vilaza na wamefoji vyeti.Je na wewe haumo ktk makundi hayo.Unaweza kuniambia mkurugenzi wa mawasiliano jeshini anaitwa nani?
Sasa na sisi 2liokua na uzalendo wa kuingia jeshini tokea mda mrefu ila kitabu ndo kilikua kime2bana itakuaje??? Na sasa ndo 2meshagraduate na hali ndo inakua hivyo ....is tht fare wht thy ar dng???
mkuu inabidi ukapige shule,huwezi kuwazuia wasomi kuingia geshi kwa style hii..na watakuja kuwapora vyeo vyote uko.
Labda kwasababu hatujuani tu anko,nafikiri ungenijua ungenitafuta phisically nikusaidie,Hicho ndicho kitu kinachowaumiza sana nyie freshers mnajiona ni wasomi sana, wakati hamna mtu wa kuwasaidia.Elimu siyo matangazo,mkipingana na ukweli mtaendelea kukaa sana nyumbani na vyeti vyenu.
sijawai ata kuota kuingia jeshi,and I'm not a flesher mi ni mkongwe niliyekata minyororo ya kuajiliwa kitambo sana..
Mbona umekomaa kuwakatisha tamaa madogo wasifukuzie kazi jeshini??wasiwasi wako nini??shule yao au??
Mimi ni kamanda nina nyota tatu huyu mleta mada kadanganywa, mambo yapo hivii jeshi linajikita kuchukua formfour wengii kuliko wenye degree hii ni kwamba hao wenye degree mara wapatapo kazi huwa maofisa nikimaanisha nyota moja kwenda juu,wakati hawa formfour hawapewi cheo ,suala ni kwamba watendaji ni formfour na hawa magraduate ni maofisa tu
te te te SAMITI bwana,jiandae kaka msuli wa muccobs mgumu sana,vp umepata hostel?
Wadau mnazidi kunikatisha tamaa, siku zote nimekuwa nikiwaza jeshi, na hata shule yangu nimekuwa nikïfanya kwa malengo ya kujiunga na jeshi dah!
Bado sera kama hizo ni mbovu, badilisheni hiyo sera! graduate kama mimi mkiniajiri, cha kwanza kukuulizeni ni Research Laboratory, hatuwezi kuendelea kununua vifaa vya kijeshi kama hatuwezi kufanya research kwa ajili yetu wenyewe. Naimani graduates ni watendaji ila you are under utilizing them, wekezeni katika RD pamoja na manufacturing of goods, hatuna vita Tanzania.Mimi ni kamanda nina nyota tatu huyu mleta mada kadanganywa, mambo yapo hivii jeshi linajikita kuchukua formfour wengii kuliko wenye degree hii ni kwamba hao wenye degree mara wapatapo kazi huwa maofisa nikimaanisha nyota moja kwenda juu,wakati hawa formfour hawapewi cheo ,suala ni kwamba watendaji ni formfour na hawa magraduate ni maofisa tu
umenifurahisha kweli.... hizi bora ninge... zimekuwa nyingi. juzi kuna jamaa aliniambia kuwa bora angeenda uhamiaji, mana polisi walimtosa interview, this time tunaread this thread akasema bora angeenda polisi.:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed: BORA NINGEKWENDA POLISI,HAPO IMEKULA KWANGU
Ni wazo zuri maana siku hizi huko wanaingizwa watoto wa wakubwa serikalini na kupewa vyeo huku wakiwa hawana uzalendo na nchi yao.
Inawezekana ukawa na point ila ulivyoiweka inakuwa ngumu kueleweka maana hapa issue ilikuwa ni kuendeleza askari ambao hawana elimu ambao tayari wapo jeshini,kwangu mimi ni jambo jema maana mtu kama umetumika miaka kumi na hujapanda hata cheo ni habari njema kuliko leo mtu anaingia na baada ya mwaka anapanda cheo,bado naamini kuwa ni wazo zuri na linatenda haki kwa askari wetu ambao wamelitumikia jeshi letu kwa uzalendo wa hali ya juu.Na ndio watao endelea kwenda hao mjomba so comment yako hapa haina maana kabisa coz wanaotangaza ni baba zao na wliobadilisha hayo hapo ni baba zao hao hao. Kwa hili waliozuiliwa ni watoto wa MBWA ambao walikua wanapata nafac hzo kwa bahati mbaya! So hupaswi kufrah kwa hili kwan ndo wameua kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Na hyo ndo iko hvyoo mjomba.............
sasa mjomba mjeshi SAMITI pamoja na hayo hakuna tetesi wataachia lini hizo postMimi ni mwanajeshi nasema taarifa ya huyo anayejiita mwakitombile ni ya uongo,uzushi na pia imelenga kuwakatisha tamaa watu wenye shahada tunachofanya sisi ni kupunguza idadi ya watu wenye degree wanaoingia jeshini
teh teh masihara ayote te te SAMITI bwana,jiandae kaka msuli wa muccobs mgumu sana,vp umepata hostel?
Mleta mada ni mfagiaji ofisini kwa chief of defence forces kadanganywa na maofisa anaowafagilia ofisi