JWTZ latangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
5,158
Reaction score
1,688
TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

  1. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya Juu. Aidha, uandikishaji utahusisha vijana wa Kitanzania wenye Taaluma Adimu.
  2. Wataalamu hao watakaoandikishwa Jeshini watapatiwa mafunzo mbalimbali muhimu ya Kijeshi na mafunzo ya kuwaendeleza katika taaluma zao.
Screenshot 2025-04-30 225149.png
Screenshot 2025-04-30 225203.png
Screenshot 2025-04-30 225217.png
 
TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

  1. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya Juu. Aidha, uandikishaji utahusisha vijana wa Kitanzania wenye Taaluma Adimu.
  2. Wataalamu hao watakaoandikishwa Jeshini watapatiwa mafunzo mbalimbali muhimu ya Kijeshi na mafunzo ya kuwaendeleza katika taaluma zao.

Jeshi la Wananchi linafaa kuongoza wananchi na kuondoa ufisadi .
 
Hicho kigezo cha jkt kinazima ndoto za vijana wengi sanaa
 
Hapo umeambiwa nakala ya cheti Cha jkt Kwa wale waliomaliza mafuzo ya kiujitolea, means nje ya hao wengine Haina ulazima, coz walishatoa hicho kigezo baada ya makelele mengi bungeni
 
Back
Top Bottom