GE2025 JWTZ na Polisi Morogoro wafanya mazoezi ya pamoja kujiimarisha kiulinzi na usalama

GE2025 JWTZ na Polisi Morogoro wafanya mazoezi ya pamoja kujiimarisha kiulinzi na usalama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Majeshi ya Ulinzi na Usalama mkoani Morogoro Oktoba 18, 2025, yamefanya mazoezi ya pamoja yenye lengo la kuimarisha mshikamano, ushirikiano na utayari wa kulinda usalama wa wananchi na mali zao.

Akizungumza wakati wa mazoezi hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amesema mazoezi hayo ni sehemu ya maandalizi ya kawaida na yanalenga kuongeza ufanisi wa vyombo vya ulinzi na usalama, siyo kuwatisha wananchi kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodhani.

Ameongeza kuwa ni muhimu kwa jamii kuelewa kuwa kuwepo kwa mazoezi hayo ni ishara ya utayari wa vyombo hivyo katika kukabiliana na changamoto za kiusalama, hususan kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.

Kwa upande wao, baadhi ya washiriki kutoka majeshi mengine wameeleza kuwa mazoezi hayo yanasaidia pia katika kuimarisha afya ya miili yao, kuleta mshikamano miongoni mwa vikosi mbalimbali na kujenga ushirikiano imara unaohitajika katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.
 
Umma ni maji na majeshi haya ni samaki. Samaki anayahitaji sana maji lakini maji kamwe hayamhitaji samaki. Wanajeshi wetu hawa wakumbuke hili daima!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom