Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Jana nipata wasaa wa kuongea na marafiki zako walipoko moja ya kambi za jeshi hapa Dar na wakabainisha wazi kuwa mwaka huu wamefurahi sana kwa vituo vya kura kuwa uraiani tofati na chaguzi zilizopita ambao vitu vya kupigia kura vilikuwa ndani ya jeshi. Walisema chaguzi zilizopita kulikuwa na afisa wa jeshi kila kituo aliyewasimamia na kuwaamuru kuwapigia wagombea wa CCM na walitii ila mwaka huu vituo viko nje ya makambi kwa hiyo watakuwa huru kumpigia mgombea wanayemtaka... Naye ni..........