Elections 2010 JWTZ sasa wako huru kupigia mgombea wanayemtaka

Elections 2010 JWTZ sasa wako huru kupigia mgombea wanayemtaka

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Jana nipata wasaa wa kuongea na marafiki zako walipoko moja ya kambi za jeshi hapa Dar na wakabainisha wazi kuwa mwaka huu wamefurahi sana kwa vituo vya kura kuwa uraiani tofati na chaguzi zilizopita ambao vitu vya kupigia kura vilikuwa ndani ya jeshi. Walisema chaguzi zilizopita kulikuwa na afisa wa jeshi kila kituo aliyewasimamia na kuwaamuru kuwapigia wagombea wa CCM na walitii ila mwaka huu vituo viko nje ya makambi kwa hiyo watakuwa huru kumpigia mgombea wanayemtaka... Naye ni..........
 
Majeshi yote (JWTZ, JKT, Magereza, Polisi, Uhamiaji na Mgambo) yamepewa standing oedr kumpigia JK na CCM pia wawahimize wanafamilia wao pamoja na ndugu na jamaa zao hii ni kwa mujibu wa rafiki yangu anayefanya kazi katika moja ya majeshi hapa nchini
 
Kwamba ukishapiga inakaguliwa kura yako au??. na habari ya MNYUKUZI feki au!! fafanua!!
 
Back
Top Bottom