EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hilo la mwanajeshi wala sio ishu maana kuna vidada vidogo vipo jeshini, vina miaka 22, sa kama kakutana na boda mbavu mbavu anapiga gym halafu akutane na mdada usiku ametoka kwenye sherehe na labda kapiga gambe analiwa tu.
ishu ya mahabusu kulawitiwa tena ndani ya kituo kinacholindwa?? kinafikirisha sana aisee
ishu ya mahabusu kulawitiwa tena ndani ya kituo kinacholindwa?? kinafikirisha sana aisee