JWTZ: Tunamsaka aliyesema tumeongezewa Mshahara

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta.

Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu JWTZ Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amesema “Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023, JWTZ inaujulisha Umma kuwa taarifa hiyo ni ya uzushi na upotoshaji kwa Jamii hivyo Watanzania waipuuze kwani ina nia ovu”

“Ukweli ni kwamba hadi leo tarehe 19 Agosti 2023 kwa JWTZ haijafika tarehe ya kulipwa mshahara, aidha hakuna ongezeko lolote la mshahara au malipo yoyote kwa Wanajeshi wa ngazi yoyote wa JWTZ yaliyofanyika tarehe 18 Agosti 2023 kama ilivyotajwa na mtandao huo”
 
Haya mambo ya kuandika habari za Geshi mitandaoni hayana afya kwa ustawi wa usalama wa nchi, zamani habari za Geshi zilibaki siri ya wenyewe tu
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta.

Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu JWTZ Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amesema “Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023, JWTZ inaujulisha Umma kuwa taarifa hiyo ni ya uzushi na upotoshaji kwa Jamii hivyo Watanzania waipuuze kwani ina nia ovu”

“Ukweli ni kwamba hadi leo tarehe 19 Agosti 2023 kwa JWTZ haijafika tarehe ya kulipwa mshahara, aidha hakuna ongezeko lolote la mshahara au malipo yoyote kwa Wanajeshi wa ngazi yoyote wa JWTZ yaliyofanyika tarehe 18 Agosti 2023 kama ilivyotajwa na mtandao huo”
Sasa jeshi kuongezewa mshahara nia ovu yake nini? Yaani nchi ina watu wa hovyo hii sijapata ona.
 
Kuna vitu vingine ni vya kuupuzia tu, tayari JWTZ kupitia kwa msemaji wake wamekanusha mimi nafikiri inatosha, habari za kumtafuta ni intimidation sasa!
Haijajulikana wanamtafuta kwa sababu gani...hivyo akipatikana sababu itajulikana ya kumtafuta....huwezi kuamka kutoka kwako tu huko ukaanza kujiandikia mambo ambayo huna uhakika nayo....wacha wampate halafu waongee naye vizuri
 
Back
Top Bottom