Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Wazee wanamtafuta wenyewe? 🤣Apakatwe mara moja huyo raia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wanamtafuta wenyewe? 🤣Apakatwe mara moja huyo raia.
Wakipewa ushahidi watasema fabricated 🤣🤣🤣🤣Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu JWTZ Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amesema “Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023, JWTZ inaujulisha Umma kuwa taarifa hiyo ni ya uzushi na upotoshaji kwa Jamii hivyo Watanzania waipuuze kwani ina nia ovu”
“Ukweli ni kwamba hadi leo tarehe 19 Agosti 2023 kwa JWTZ haijafika tarehe ya kulipwa mshahara, aidha hakuna ongezeko lolote la mshahara au malipo yoyote kwa Wanajeshi wa ngazi yoyote wa JWTZ yaliyofanyika tarehe 18 Agosti 2023 kama ilivyotajwa na mtandao huo”
😂😂 Kuna jamaa kasema apakatwe..Erythrocyte jipeleke mwenyewe kabla hawajakufuata ulipo.
Amekuwa na mdomo mrefu huyu bwana![emoji23][emoji23] Kuna jamaa kasema apakatwe..
Hawana kazi, wanakula bureHilo nalo ni kosa la kumsaka mtu!
Jwtz ni taasisi kubwa na inayo aminika, sioni sababu ya hii taasisi pendwa kujibu mambo ya mitandaoni maana wana majukumu mengi ya maana zaidi ya haya ya kubishana na raiaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu JWTZ Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amesema “Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023, JWTZ inaujulisha Umma kuwa taarifa hiyo ni ya uzushi na upotoshaji kwa Jamii hivyo Watanzania waipuuze kwani ina nia ovu”
“Ukweli ni kwamba hadi leo tarehe 19 Agosti 2023 kwa JWTZ haijafika tarehe ya kulipwa mshahara, aidha hakuna ongezeko lolote la mshahara au malipo yoyote kwa Wanajeshi wa ngazi yoyote wa JWTZ yaliyofanyika tarehe 18 Agosti 2023 kama ilivyotajwa na mtandao huo”
Umeongea neno muhimu sana 😂😂Wanajeshi wana akili sana,si waseme tu wanataka nyongeza ya mshahara?
Banana Republic,Kwa hiyo wakimpata itasaidia nini!
Wamekanusha inatosha...
Akili za hawa jamaa huwa ni kutumia maguvu tu.
Tafadhali haina tija .....tunaomba mtafuteni alie draft mkataba mbovu vile anataka kuuza power ya Rais na nchi piaa .....mliapa kulinda katiba na nchi na rasilimali zake ........wanasiasa wanawachezea sharubu .....isije kuwa mnaongexewa kupoozwa....tunaliamini sana Jeshi tafadhaliJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu JWTZ Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amesema “Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023, JWTZ inaujulisha Umma kuwa taarifa hiyo ni ya uzushi na upotoshaji kwa Jamii hivyo Watanzania waipuuze kwani ina nia ovu”
“Ukweli ni kwamba hadi leo tarehe 19 Agosti 2023 kwa JWTZ haijafika tarehe ya kulipwa mshahara, aidha hakuna ongezeko lolote la mshahara au malipo yoyote kwa Wanajeshi wa ngazi yoyote wa JWTZ yaliyofanyika tarehe 18 Agosti 2023 kama ilivyotajwa na mtandao huo”
Na akipatikana yeye ndo atawaongezea mshaharaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu JWTZ Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amesema “Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023, JWTZ inaujulisha Umma kuwa taarifa hiyo ni ya uzushi na upotoshaji kwa Jamii hivyo Watanzania waipuuze kwani ina nia ovu”
“Ukweli ni kwamba hadi leo tarehe 19 Agosti 2023 kwa JWTZ haijafika tarehe ya kulipwa mshahara, aidha hakuna ongezeko lolote la mshahara au malipo yoyote kwa Wanajeshi wa ngazi yoyote wa JWTZ yaliyofanyika tarehe 18 Agosti 2023 kama ilivyotajwa na mtandao huo”
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema taarifa iliyosambazwa na mtandao wa kijamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara ni taarifa ya uzushi na upotoshaji na tunamtafuta.
Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano Makao Makuu JWTZ Luteni Kanali Gaudentius Gervas Ilonda amesema “Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023, JWTZ inaujulisha Umma kuwa taarifa hiyo ni ya uzushi na upotoshaji kwa Jamii hivyo Watanzania waipuuze kwani ina nia ovu”
“Ukweli ni kwamba hadi leo tarehe 19 Agosti 2023 kwa JWTZ haijafika tarehe ya kulipwa mshahara, aidha hakuna ongezeko lolote la mshahara au malipo yoyote kwa Wanajeshi wa ngazi yoyote wa JWTZ yaliyofanyika tarehe 18 Agosti 2023 kama ilivyotajwa na mtandao huo”
nguvu inatumika kuliko akili, hata wewe unaweza kusakwa kwa kuulizwa hilo swaliHilo nalo ni kosa la kumsaka mtu!