Katika hali ya kushangaza wanajeshi wa JWTZ wapo kwenye mazoezi makali, mithili ya yale ya FFU, bila shaka kujiandaa kwa kupambana na watakaopinga matokeo ya uchaguzi mkuu baada ya kuchakachuliwa kwa kura. Nimewashuhudia mimi mwenyewe pale Lugalo leo. Kwa kawaida mazoezi ya aina ile hufanywa na FFU. Kunani? Au ndio maelekezo ya Shimbo kutoka CCM?

Watanzania ndiyo watakao wabishia....Amiri Jeshi Mkuu kisha toa maagizo kuwa Polisi waibe kura na jeshi lisimamie wizi huo.
Unadhani nani wa kubisha?