Nyunyu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2009
- 4,354
- 1,010
Mbona sioni mtu akisema tunaomba ushaidi wa picture!
Unaweza vunjwa wewe na kamela yako
Mkuu huwatakii mema wananchi wenzako eeh!!!
Utakuta hauna taya hata kabla ya kumaliza kupiga!!! Watu wenyewe walivyo na hamu ya kupiga duh!!