Infantrysoldier
Member
- Sep 4, 2021
- 16
- 13
Unaonyesha hujui kitu acha ubishi wa kitoto. Kama ndio hivyo kulikuwa na haja gani ya kuwa na majeshi tofauti?
Kiapo Cha mwanajeshi ni kulinda nchi na mipaka yake, kiapo Cha polisi ni kulinda raia na Mali zao na Uhamiaji Wana kiapo Chao so kila mmoja ana kazi yake na ndio maana baadhi ya mafunzo wanatofautiana.
Tuliopita majeshini tunaelewa haya Sasa we andelea kubisha .
Mwache analeta mapuuza huyo[emoji23]