JWTZ wapewa kazi ya kusambaza vifaa vya maabara Thamani ya 16.9Bln katika Shule za Sekondari 1,696

JWTZ wapewa kazi ya kusambaza vifaa vya maabara Thamani ya 16.9Bln katika Shule za Sekondari 1,696

Wasafirishaji secta binafsi wapige magoti tu hakuna namna.!
 
MMMH WAJESHI NA MAABARA WAPI NA WAPI.VIPI WIZARA HUSIKA!!!
 
mtu binafsi angefanya bure?lengo ni askari kushiriki shughuli za kimaendeleo wakati wa amani
 
Wanasayansi hawajengwi hivyo
Watu wanaenda shule na msongo afu unategemea watafaulu
 
Huwezi kuwakuta bavicha kwenye habari mbaya kwao kama hii
 
UCHUMI PU.

SASA MZUNGUKO WA FEDHA UKWAPI HAPA. TENDA HIYO ANGEIPATA JUMA AND SONS SUPPLIERS, HELA INGEFIKA HADI KWA MAMA MUUZA GONGO.

NA NINA UHAKIKA JESHI LINAPIGA MZIGO BURE KABISA.
Una hakika!! Wewe ni miongoni mwao mkuu.
 
UCHUMI PU.

SASA MZUNGUKO WA FEDHA UKWAPI HAPA. TENDA HIYO ANGEIPATA JUMA AND SONS SUPPLIERS, HELA INGEFIKA HADI KWA MAMA MUUZA GONGO.

NA NINA UHAKIKA JESHI LINAPIGA MZIGO BURE KABISA.
Pesa inabakia serikarini Na Serikari inakuja kufanya mambo makubwa kama haya ya VIFAA kwa maabara kwa shule zote hadi vjijini ILA ela ingeenda kwa huyo mfanyabiashara angeziweka kwenye ndoo ndani ilikuikomesha Serikari au anaenda kuwekeza nchi Jilani . Kuwa mpole ndugu Mambo mazuri sana yanakuja utayafurahia Na hayana Chama ni kwa watanzania wote.
 
Hapo gharama kwa serikali ni mafuta na per diems za hao askari, wangechukua watu binafsi gharama zingekuwa nyingi zaidi


Sasa ndugu yangu hebu elewa yafuatayo:

  1. Hilo lori la jeshi limenunuliwa kwa kodi inayolipwa kwa kiasi kikubwa na watu binafsi
  2. Mafuta nayo ni hivyohivyo
  3. Hizo per diems kadhalika

Unapozuia sekta binafsi ujue na kodi zinashuka na hivyo vitu vitatu eventually havitapata tena pesa. Hya tuliyajaribu huko miaka ya nyuma na tukafeli sana!
 
Back
Top Bottom