JWTZ yaidhalilisha Serikali

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Jana JWTZ lilimaliza kazi ya kuhamisha mahindi kutoka maghala ya Mkoa wa Ruvuma na kupeleka Mkoa wa Iringa na Rukwa. Ikaonekana kuwa JWTZ ilifanya hivyo ili kupata nafasi ya kuweka mahindi mapya. Chakula kimejaa pomoni. Sasa,inakuwaje kilo ya unga iuzwe sh. 1200? Nani anayebariki upandaji huu wa bei za chakula wakati kipo cha kutosha? Huu si udhalilishaji kwa Serikali vunjwavunjwa hii?
 
Matunda ya Magamba, kila kitu siasa(uwongo+ufisadi)
 
Nadhani JWTZ isiishie tu kubeba mahindi, ifike hadi Magogoni ni kuendesha nchi kabisa.
 
nchi ya wafanya biashara hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…