VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Jana JWTZ lilimaliza kazi ya kuhamisha mahindi kutoka maghala ya Mkoa wa Ruvuma na kupeleka Mkoa wa Iringa na Rukwa. Ikaonekana kuwa JWTZ ilifanya hivyo ili kupata nafasi ya kuweka mahindi mapya. Chakula kimejaa pomoni. Sasa,inakuwaje kilo ya unga iuzwe sh. 1200? Nani anayebariki upandaji huu wa bei za chakula wakati kipo cha kutosha? Huu si udhalilishaji kwa Serikali vunjwavunjwa hii?