southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
wengineMsata wameenza usaili tayar hawa waliotangaziwa ajira?? Au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wengineMsata wameenza usaili tayar hawa waliotangaziwa ajira?? Au
washamaliza kila kitu wamebaki watu wachache tuu ambao ni baba kantuma wanaoenda kuripori huku mwishoni
duuh!Ko baba kanituma hawachukuliw vipimo au
Vijana noana mshaanza kozi " Kiangaiko" hongeren sana mkienda huko muwe na nidham mmalize salama
Wanacho subili ni siku zote izo??? madogo mtaan wapungue aitheeeWameshaanza kozi hao ni wale wa jkt wa mwezi wa 12 msata kule hawa wa nafasi za juzi bado nazani itakuwa oljoro
haswaaa😂😂Nyie subirini muone watu wakiapa tu[emoji28][emoji28]
Nyie subirini muone watu wakiapa tu[emoji28][emoji28]
Utaona Millard ayo akipost YouTube.Hii ni kweli kbsa [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Utaona Millard ayo akipost YouTube.
"kundi la 43 lamaliza mafunzo RTS Kihangaiko"[emoji28]
Hahaha ko tusubirie Millard ayoo apost coz tumeshakosa ivoUtaona Millard ayo akipost YouTube.
"kundi la 43 lamaliza mafunzo RTS Kihangaiko"[emoji28]
hahahaa hatari miez miwili imepita tokea watangazeHahaha ko tusubirie Millard ayoo apost coz tumeshakosa ivo
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sasa kivumbi kwa kuwapata hao watu Unakuta katika familia au ukoo mzima hujawahi sikia ata ndugu mjedaTutafute connection haya mambo yanataka hivyo,kila mtu anajua kama majeshi ni ukoo
Wala sikupingi ktka hiloSasa kivumbi kwa kuwapata hao watu Unakuta katika familia au ukoo mzima hujawahi sikia ata ndugu mjeda
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app