Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Ameokota taarfa huko amescreen shoot nusu atuvunje moyo [emoji1787][emoji1787]sasa hii si alikuwa anafunga mafunzo intake ya 40 mkuu upo tz kweli
friday,30th september 2022hii habari umescreenshot nusu...hujamalzia em soma apa[emoji1484]View attachment 2718245
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
watu wanasubiri intake ya 43 sijui 44 analeta taarifa za int ya 41Ameokota taarfa huko amescreen shoot nusu atuvunje moyo [emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mwambie kama anataka clip ya maneno aliyoyasema pamoja na Watu wakila kiapo Cha MUNGU NISAIDIEE nimtumie hayo maneno ni ya mwaka janafriday,30th september 2022
Sahihi kabisa,Maana intake ya 42 ndo wale walioanza Mei mosi mwaka huuwatu wanasubiri intake ya 43 sijui 44 analeta taarifa za int ya 41
Kuwa na korodani moja pia ni ulemavu nadhani kuna picha umeipata.Bila cheti inawezekana ila mlemavu sasa atapigaje shule labda kama anakipaji maalumu au elimu maalumu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hata ukiwa na mshono haulusiwi ila wanaume wote tunamishonoKuwa na korodani moja pia ni ulemavu nadhani kuna picha umeipata.
Hii kitaalamu Haina shida kiongozi korodani Moja nadhani wangetoa kweny kigezoKuwa na korodani moja pia ni ulemavu nadhani kuna picha umeipata.
Lakini haiondoi uhalisia wa ulemavu kwanini ukaguliwe?Hii kitaalamu Haina shida kiongozi korodani Moja nadhani wangetoa kweny kigezo
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Naona wangeacha tu kukagua hizo korodaniLakini haiondoi uhalisia wa ulemavu kwanini ukaguliwe?
Lazima wakague ili wajue kama umetimia,Ni kama vile wanavyokagua mkun.du tu.
[emoji16][emoji16][emoji16]Lazima wakague ili wajue kama umetimia,Ni kama vile wanavyokagua mkun.du tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787]sasa kama korodani ipo Moja Kwan vitani inatumika kama bomu la kutupa kwa mkono auLazima wakague ili wajue kama umetimia,Ni kama vile wanavyokagua mkun.du tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Korodani moja hupelekea mtu kupata magonjwa kadha wa kadha kama kansa ya korodani.[emoji1787][emoji1787]sasa kama korodani ipo Moja Kwan vitani inatumika kama bomu la kutupa kwa mkono au
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mmmh kiongozi kwa utafiti wangu kama umezaliwa na korodani Moja kupata Kansa ya korodani sio chanzo labd visababishi vingineKorodani moja hupelekea mtu kupata magonjwa kadha wa kadha kama kansa ya korodani.
Sasa jeshi kwa kulijua hilo hawataki askari atumie muda mwingi kujitibia badala ya kutimiza majukumu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu..Mmmh kiongozi kwa utafiti wangu kama umezaliwa na korodani Moja kupata Kansa ya korodani sio chanzo labd visababishi vingine
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Daaah Bado nishaamua tu nimuweke dukani kwangu tuendelee kutafuta ugali mbanga unazingua Yani mwezi wa 5 kimya na hii najua tu angekosa
Mtafutie mbanga wa kueleweka ohoo...!![emoji1787][emoji1787]Daaah Bado nishaamua tu nimuweke dukani kwangu tuendelee kutafuta ugali mbanga unazingua Yani mwezi wa 5 kimya na hii najua tu angekosa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app