JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

[emoji1787][emoji1787]sasa kama korodani ipo Moja Kwan vitani inatumika kama bomu la kutupa kwa mkono au

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Korodani moja hupelekea mtu kupata magonjwa kadha wa kadha kama kansa ya korodani.

Sasa jeshi kwa kulijua hilo hawataki askari atumie muda mwingi kujitibia badala ya kutimiza majukumu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh kiongozi kwa utafiti wangu kama umezaliwa na korodani Moja kupata Kansa ya korodani sio chanzo labd visababishi vingine

Back
Top Bottom