JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

sasa wewe ndio umeongea KIKUBWA maumivu haya hata mimi yalinikuta mpaka sasa siamini mtu yoyote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yaaan hakika sio kumuamini mtu mi offer ya 3m ipo ila sitajaribu kumpa mtu ata laki Moja.. mtu akimaliza mambo tu ya kuitwa na dogo akakuta Kweli yupo kwenye list nampa 1.5m then akipita kwenye usaili namalizia 1.5m jamanii jamanii PAY AFTER WIN
 
Hilo donge nono ulivyo bandika hapa hope huko dm njema zimekuja za kutosha
 
Wanangu wa majeshi komaeni wangine tumeomba mpaka age imetutupa mkono.
Ngoja tuone maana wandewa wametuambia mwez huu wa 10, maana kila mwanzo wa mwez wandewa wanacheza na akil zetu utawasikia tuu na kaul zao za kishujaa huu mwez uwakika
 
Ata wakija Dm wajue tu ni PAY AFTER WIN Mpaka Sasa nimetumia pesa zaidi ya hiyo ila hakuna nilichopata hivo basi asije mtu dm akazan atapata hela yyte mpaka kazi ikamilike
Kwaiyo izo zingine ulizo tuma umetoa sadaka ndugu yangu au utaitaj urudishiwe?[emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…