Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Ni Kweli mjombaaaBado mnapean moyo et mwezi wa 10 ila tz nchi yangu lakin hatujielew na kujitambua eb focus na lif bn achen mamb ya kitot hakun nafc wala nini mtasubir sn ..... kipind tunasem mkatutukan wa6 ukapit wa7...8..9..10 itapit achen ujuaji hakun kit washaend kitambo huk wataap
"Baba kantuma"Ni Kweli mjombaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nani kataja neno "tapeli"? Mbona unajishukushuku bibie?
Itakuwa umekaa ma areani sio bure ahaaMtoto wa kota hata akifikisha miaka 30+ anaamin Baka baka atalivaa tuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hat ukiwa mafunzoni unapata iyo pass wewe tu na nguvu ya atakaye kutumia messege ..Ukienda Jkt ni kipindi gan unapata likizo au ndio hamna kuondoka mpka miaka miwili ikamilike?????
Sasa iv mmeanza kuja na Lugha ya matamshi ya "iv karibun " na sio tena mwez 10 uwakika wanangu ok sawa mim Baba kantuma hata nikifikisha miaka 40+ bakabaka ntavaaIvi karibuni utata wa ronja ipo au halipo unatatuliwa tukae tu kwa upole!!
NdioUhamiaji wanachukuwa Kozi za Afya?????
Kozi za afya kuwatibu wakimbiza au??Uhamiaji wanachukuwa Kozi za Afya?????
[emoji23][emoji23]Aya baba Kanituma pambania kombe wengine tuna miaka 30 tushaachana nazo tunapiga inshu nyingne na pesa ipo ya kutosha... kama vile ndo nimestaafu jwSasa iv mmeanza kuja na Lugha ya matamshi ya "iv karibun " na sio tena mwez 10 uwakika wanangu ok sawa mim Baba kantuma hata nikifikisha miaka 40+ bakabaka ntavaa
Haiwezekan watoto wa kota wenzangu wavae mim nisivae
[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji2]
Usijibu kwa mihemko kakaKozi za afya kuwatibu wakimbiza au??
Kwan tatzo nin apo au kukosea kuandika tu wakimbizi ndo mihemko jua kutumia kiswahili vizuri... Hilo ni swali uhamiaji wanachukua kozi za afya wakatibu nini?? Basi ieleweke hivi!!Usijibu kwa mihemko kaka
Limeulizwa swali jibu kwa evidence sio kwa hisia zako brooKwan tatzo nin apo au kukosea kuandika tu wakimbizi ndo mihemko jua kutumia kiswahili vizuri... Hilo ni swali uhamiaji wanachukua kozi za afya wakatibu nini?? Basi ieleweke hivi!!
Huyu amesema ndio.Ndio
Ivi karibuni utata wa ronja ipo au halipo unatatuliwa tukae tu kwa upole!!
Ahaaa we jamaaa itakuwa umekaa area D au E sio bure au lugalo ndaniSasa iv mmeanza kuja na Lugha ya matamshi ya "iv karibun " na sio tena mwez 10 uwakika wanangu ok sawa mim Baba kantuma hata nikifikisha miaka 40+ bakabaka ntavaa
Haiwezekan watoto wa kota wenzangu wavae mim nisivae
[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji2]