JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Ivi karibuni utata wa ronja ipo au halipo unatatuliwa tukae tu kwa upole!!
Sasa iv mmeanza kuja na Lugha ya matamshi ya "iv karibun " na sio tena mwez 10 uwakika wanangu ok sawa mim Baba kantuma hata nikifikisha miaka 40+ bakabaka ntavaa

Haiwezekan watoto wa kota wenzangu wavae mim nisivae

[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji2]
 
[emoji23][emoji23]Aya baba Kanituma pambania kombe wengine tuna miaka 30 tushaachana nazo tunapiga inshu nyingne na pesa ipo ya kutosha... kama vile ndo nimestaafu jw
 
Sasa iv mmeanza kuja na Lugha ya matamshi ya "iv karibun " na sio tena mwez 10 uwakika wanangu ok sawa mim Baba kantuma hata nikifikisha miaka 40+ bakabaka ntavaa

Haiwezekan watoto wa kota wenzangu wavae mim nisivae

[emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji2]
Ahaaa we jamaaa itakuwa umekaa area D au E sio bure au lugalo ndani
 
Back
Top Bottom