Zafrain sag
JF-Expert Member
- Sep 14, 2019
- 238
- 354
Hii ni intake ya 42 walioanza Mei mosi mwaka huu.Ambapo hapo walikuwa wanahitimu mafunzo ya porini,Tarehe 28 mwez huu wanaapa.Mambo huwa kama vp huna hili wala lile unakuja sikia watu washamaliza koz
View: https://youtu.be/rGYDZqgD-Ag?si=q4V1H0s8b6D-yw7f
ILa polisi mara hii wamekuja vizuri
Umri umerefuka kidogo
Alafu taaluma nying nying filter imepungua
Naamini na baka baka nao watakuja na msaada zaid
HII RONJA NIMEISIKIAUT soon
"Bado hamjasema yan mpaka mseme" juz Jamaa walikuja wizaran kushughulikia vibari vya gari kupita mizan pasipo ukaguz maana huwa wanakuwaga wanazidisha uzito, panapo majaliwa tareh 27 madogo wataapishwa new comers sijajua lin wataanzatunaelekea kuumaliza mwezi 10
"Bado hamjasema yan mpaka mseme" juz Jamaa walikuja wizaran kushughulikia vibari vya gari kupita mizan pasipo ukaguz maana huwa wanakuwaga wanazidisha uzito, panapo majaliwa tareh 27 madogo wataapishwa new comers sijajua lin wataanz
Earlier december"Bado hamjasema yan mpaka mseme" juz Jamaa walikuja wizaran kushughulikia vibari vya gari kupita mizan pasipo ukaguz maana huwa wanakuwaga wanazidisha uzito, panapo majaliwa tareh 27 madogo wataapishwa new comers sijajua lin wataanza
Vp jamani mbona nasikia simu zishaanza pigwa kuna ukweli wowote ?Earlier december
Ni kweli mike, nasikia simu zimeanza kupigwa.Vp jamani mbona nasikia simu zishaanza pigwa kuna ukweli wowote ?
Sawa Mtoto wa CDFEarlier december
Kwan wew una miaka mingap? Kwangu mim umri sio kigezo cha kukosa nafasi inategemea na nan yupo nyuma yakoKwa upande wa elimu ya sekondari mwisho ni umri gani kuingia vyomboni
Umri wa kisheria