JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

ILa polisi mara hii wamekuja vizuri
Umri umerefuka kidogo
Alafu taaluma nying nying filter imepungua
Naamini na baka baka nao watakuja na msaada zaid
 
Ambae amewai kufanya usahili wa polisi upande wa fani ya driving pale dar e s salaam usahili inakuaje kwa fani ya udereva naomba ronja wadau
 
tunaelekea kuumaliza mwezi 10
"Bado hamjasema yan mpaka mseme" juz Jamaa walikuja wizaran kushughulikia vibari vya gari kupita mizan pasipo ukaguz maana huwa wanakuwaga wanazidisha uzito, panapo majaliwa tareh 27 madogo wataapishwa new comers sijajua lin wataanza
 
"Bado hamjasema yan mpaka mseme" juz Jamaa walikuja wizaran kushughulikia vibari vya gari kupita mizan pasipo ukaguz maana huwa wanakuwaga wanazidisha uzito, panapo majaliwa tareh 27 madogo wataapishwa new comers sijajua lin wataanz

"Bado hamjasema yan mpaka mseme" juz Jamaa walikuja wizaran kushughulikia vibari vya gari kupita mizan pasipo ukaguz maana huwa wanakuwaga wanazidisha uzito, panapo majaliwa tareh 27 madogo wataapishwa new comers sijajua lin wataanza
Earlier december
 
Back
Top Bottom