JWTZ yatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye mafunzo ya JKT

Kabisaa mkuu.. imekaa imeandikwa kilocal sana
Jeshi la vilaza lisilojua hata kutype barua , jeshi la kipumbavu linaloajiri manual labourers kila siku ,wakati majeshi siku hizi ni taasisi za ubunifu wa teknolojia
Egypt Tu hapo wanavitengo vya kutengeneza mitambo yao , innovation na uzalishaji wa silaha na bidhaa nyingine kwa kutumia watu wenye skills na elimu ya juu kupitia tafiti (researches)
Hii jwtz ni takataka (money waster) ,kuajiri mbumbumbu wasio na skills wala value kuja kukaa kwenye mabweni na kula mishahara ya bure na kukimbizana na raia kugombania malaya kwenye bar
Upuuzi mtupu

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
PUNGUZA MAKASIRIKO HIYO BARUA SIYO YA JWTZ KUNA WAPUMBAVU WANAISAMBAZA WAHUNI SIYO JWTZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…