Here we go...View attachment AJIRA-2024.pdf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimya sana wakuu.. any update? NALIA NGWENATunatumaini Wapambanaji wetu wengi wameingia vyomboni si Kwa ukimya huu
HII NIMEIONA KUTOKA HUKOKimya sana wakuu.. any update? NALIA NGWENA
MKUU UNAWEZA UKA IGNORE TUKumbe huu uzi useless [emoji56][emoji3][emoji4]🪑[emoji42][emoji3482][emoji3482]
Kuanzia 2019 Mbaka 2023.MKUU UNAWEZA UKA IGNORE TUView attachment 2925106
Nakazia.. haina uhalisiaKuanzia 2019 Mbaka 2023.
Huku jeshini hawana ma secretary wa ku type vizuri barua??
Hii ni feki,
Hamna hata deadline ya kutuma maombi..mwandiko upo local mnooNakazia.. haina uhalisia
Kabisaa mkuu.. imekaa imeandikwa kilocal sanaHamna hata deadline ya kutuma maombi..mwandiko upo local mnoo
Jeshi la vilaza lisilojua hata kutype barua , jeshi la kipumbavu linaloajiri manual labourers kila siku ,wakati majeshi siku hizi ni taasisi za ubunifu wa teknolojiaKabisaa mkuu.. imekaa imeandikwa kilocal sana
Hiyo barua nadhani ni wahuni tu wamefoji.. sio rasmi kutoka JwtzJeshi la vilaza lisilojua hata kutype , jeshi la kipumbavu linaloajiri manual labourers kila siku ,wakati majeshi siku hizi ni taasisi za ubunifu na teknolojia
Hii jwtz ni takataka
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
HIYO BARUA KUNA WAPUMBAVU WAMEBUNI NI BORA MLIVYOHOJI KAMA MIMI NILIVYOHOJI NILIPOIPATA KWENYE MOJA YA MAGRUP HUKO.Kuanzia 2019 Mbaka 2023.
Huku jeshini hawana ma secretary wa ku type vizuri barua??
Hii ni feki,
PUNGUZA MAKASIRIKO HIYO BARUA SIYO YA JWTZ KUNA WAPUMBAVU WANAISAMBAZA WAHUNI SIYO JWTZJeshi la vilaza lisilojua hata kutype barua , jeshi la kipumbavu linaloajiri manual labourers kila siku ,wakati majeshi siku hizi ni taasisi za ubunifu wa teknolojia
Egypt Tu hapo wanavitengo vya kutengeneza mitambo yao , innovation na uzalishaji wa silaha na bidhaa nyingine kwa kutumia watu wenye skills na elimu ya juu kupitia tafiti (researches)
Hii jwtz ni takataka (money waster) ,kuajiri mbumbumbu wasio na skills wala value kuja kukaa kwenye mabweni na kula mishahara ya bure na kukimbizana na raia kugombania malaya kwenye bar
Upuuzi mtupu
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
NI WAHUNI NDIYO WAMEDRAFT HUO UTUMBO MKUU.Hamna hata deadline ya kutuma maombi..mwandiko upo local mnoo
Ni kweli mkuu,nimegundua mapema hilo.NI WAHUNI NDIYO WAMEDRAFT HUO UTUMBO MKUU.
Kaka zile lonja za mwezi wa tatu Kuna bogi la msata vpPUNGUZA MAKASIRIKO HIYO BARUA SIYO YA JWTZ KUNA WAPUMBAVU WANAISAMBAZA WAHUNI SIYO JWTZ
NAKAZIA ✍️Kaka zile lonja za mwezi wa tatu Kuna bogi la msata vp
Si tuliwambiaag ooh sijui nini imekuja ikarud mkatuona maboya watu wanawalisha matango poli mnakubalDah zile mpaka leo kamanda.