Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,776
.
Hivi .... mnabishania nini hasa? ... siwaelewi ... bado mnabishana juu ya siasa zisizokuwa na kichwa wala miguu!
Suala kubwa hapa ni kuwa watu waliotekwa wapo huru & salama ... hilo ni kubwa zaidi ... maisha ya watu yaliyokuwa hatarini ... wapo salama!
Hilo la nani kamuokoa nani! & nani ni bora kuliko nani ... ni suala la ujinga kabisa!