K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

muanzisha thread umeropoka..

1.mengi sio Tajiri namba moja tz Fanya research
2.k-lyn kabanwa kwenye kujiachia maana hela sio yake
lakini zari anatanua sana ana gari nyingi za kifahari
ambazo hata klyn hana kwa sasa...

zari ni boss ..built of self success anafanya atakacho
 

Anzisha thread na wewe tuone sio unaarisha upuuzi wako apa kama umekunywa uharo
 
Hata mengi nae sio mjinga, k lyn atakua na fungu lake zuri tu na mpacha wake, jaman watu wana bahati nyie sijawahi kuona, mungu ambariki kwa kweli

Watu na nyota zao bidada, hebu jaribu kuomba urafika kwa the boss lady walau akuambukize nyota yake :smile-big:
 

kwanza,fanya tafiti kuthinitisha kuwa mengi ni tajiri namba moja.
 
kuropoka ni kuongea bila ushahidi,,,, and I think I am right unless utupe evidence meng ndo tajir no.1

Kaa na upumbavu wako ----- wewe, umezoea kukariri maisha, whether awe tajir namba mbili au kumi i still count him as millionaire, hutak kajambe uko kwenu
 
Watu na nyota zao bidada, hebu jaribu kuomba urafika kwa the boss lady walau akuambukize nyota yake :smile-big:

He hivi kumbe huyu warumi ambaye nimekuwa nikimsoma hapa kumbe ni mwanamke???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…