K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa


Wataniwezea wapi binamu? Hili jeshi la mtu mmoja, upuuzi wao wapeleke uko instagram nfyuuuu
 
Last edited by a moderator:
Hata mengi nae sio mjinga, k lyn atakua na fungu lake zuri tu na mpacha wake, jaman watu wana bahati nyie sijawahi kuona, mungu ambariki kwa kweli

Ni kweli kuolewa na tajiri ni bahati, lakini swali linakuja unaitumiaje ile bahati?
Hahahaaa, warumi unanichekesha sana leo.
 
Last edited by a moderator:

Ujue Jack angekua mke wa kwanza kwa Mengi wala nisingepingana na wewe hapa warumi ila inabidi atumie akili sana.
Ahakikishe kua kama ni nyumba awe na risiti yeye tena zenye majina ya wanae na yeye pia na biashara vile vile awe na share zake au umiliki wa 100%.
 
Last edited by a moderator:
chige wew ndomo akifa unaweza kuomba umsindikize aisee! Najua ushamalizana na KTMA
Narudia tena, wewe jamaa ni mshamba, hili jukwaa umevamia tu! Ikiwa wewe ni mtu wa burudani; iwe muziki, soka, filamu or else lazima kutakuwa na mtu unayemshabikia na kama hakuna, basi hili jukwaa umepotea njia na ndio maana hata hoja zako hazina mashiko coz' huonekani ikiwa unaifahamu entertainment industry!
 
Hahahaaa,wewe jamaa utani wa ngumi aisee.
Subiri waje utayakoga matusi hapa hadi ukome...lol

Acha kuwa mvivu wa kufikir binamu, tunawazungumzia COUPLE maarufu ya mastaa, zari na k -lyn wanafahamika, pia ni wasichana warembo wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii, huyo mke wa rostam sijui na bakhresa, nani anawajua? Kwanza watakuwa wazee na hawana mvuto wala nyota kwenye jamii, inshort ni hivyo, KLYN na ZARI ndio wanaoongoza kuzungumzwa kwa sasa mitandaoni

Mimi ninayeandika ndio najua nini watu wanataka kusikia, warumi sijawahi kukosea kwenye sekta ya udaku ata siku moja
 
Tena ukute ni mmachame aka palestina.. Itabidi afunge kibwebwe kuucheza

Weee? Acha bwana tunaowajua wamachame tunaelewa hasa wakoje.Muache warumi aendelee kumpa kichwa Jack ila aje kumsaidia kulia yakimkuta.
 
Last edited by a moderator:

Uwiiiiii warumi leo umevurugwa best.Haya maelezo si yangu jamaniiiiii...
 
Last edited by a moderator:
Mbona unaweweseka mpwa? Mimi ndo nimetaja akina Dewji na Bakhresa! By the way, hivi wewe ulizungumzia ustaa au ulizungumzia kuolewa na tajiri? Ikiwa umesahau ulichaondika, rejea:
Kwahiyo, kigezo chako ni mtu kuolewa na tajiri ndipo anaitwa Bossylady, againa, warumu huyu hapa:
mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY "
Acha kuruka ruka mpwa, umechemka!
 
Last edited by a moderator:
warumi mke wa Mengi sio mjinga kukaa kimya.Yeye bado ana share zake na mzee ana shida gani? Yule mama anajielewa, anajua anachokifanya.

Kuna siku nasikia alimkuta kwenye nyumba yake alimpiga vibao huyo hatari...machache akaona isiwe case akampangia apartment masaki anayoishi hadi leo
 
Last edited by a moderator:
Huyu hamna kitu hapo cha umuhimu ni kuendelea na upinzani.

Hahahaaa,najua unapenda upinzani uwe kila mahali ili ufurahi nafsi yako.
Loh! lolowapi una roho mbaya sana.
 
Last edited by a moderator:
Wee jamaa vp??? Unadhani kumshabikia ndomo ndo umefika au? Kwa taarifa yako mm nilikuwa napenda nyimbo za ndomo vibaya mno kura nilimpigia na nyimbo zake nyingi ninazo ila baada ya 'my number one'kapotea kutoka kwenye site yangu. Kiba ni mwanamuziki ana sauti nzuri na ndo maana nyimbo zake hazichoshi! Then jiangalie sana! Entertainment industry unajua wewe? Endelea kushabikia watu ----- wew! Naona unakomaa na entertainment entertainment!
 
Kuna siku nasikia alimkuta kwenye nyumba yake alimpiga vibao huyo hatari...machache akaona isiwe case akampangia apartment masaki anayoishi hadi leo

Khaaaaa!Sasa hapo imagine mzee yupo hai, akianguka je? Si hatari hii jamani.K-Lyn achange karata zake vizuri,shauri zake.
Mwezie Jokate naona alipiga hesabu akaona huu mziki hauwezi akaachia ngazi mapema.
 
warumi mke wa Mengi sio mjinga kukaa kimya.Yeye bado ana share zake na mzee ana shida gani? Yule mama anajielewa, anajua anachokifanya.

Hoja ya msingi k lyn bosslady
 
Last edited by a moderator:

Bold black: Hii taarifa imekaa kimbea na kinafiki sana na haina ukweli wowote.
FYI: Tajiri namba moja nchini Tanzania ni Mohammed Dewji. Mengi ni tajiri namba 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…