warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #21
Wataniwezea wapi binamu? Hili jeshi la mtu mmoja, upuuzi wao wapeleke uko instagram nfyuuuu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mengi nae sio mjinga, k lyn atakua na fungu lake zuri tu na mpacha wake, jaman watu wana bahati nyie sijawahi kuona, mungu ambariki kwa kweli
Wameshakuwa mwili mmoja, mali zote zitakazopatikana kuanzia sasa ni za k -lyn na mengi achilia mali walizochuma na mke wake, hakika jack kabarikiwa kuliko wanawake wote africa mashariki, wakina mwafulan ndo mtulie muache umalaya maana mmezidi wenzenu hao mabilionea sasa ivi
Narudia tena, wewe jamaa ni mshamba, hili jukwaa umevamia tu! Ikiwa wewe ni mtu wa burudani; iwe muziki, soka, filamu or else lazima kutakuwa na mtu unayemshabikia na kama hakuna, basi hili jukwaa umepotea njia na ndio maana hata hoja zako hazina mashiko coz' huonekani ikiwa unaifahamu entertainment industry!chige wew ndomo akifa unaweza kuomba umsindikize aisee! Najua ushamalizana na KTMA
Hahahaaa,wewe jamaa utani wa ngumi aisee.
Subiri waje utayakoga matusi hapa hadi ukome...lol
mi na wewe ni timu mbili tofauti, lakini muda mwingine nakuelewa sana.
Acha kuwa mvivu wa kufikir binamu, tunawazungumzia COUPLE maarufu ya mastaa, zari na k -lyn wanafahamika, pia ni wasichana warembo wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii, huyo mke wa rostam sijui na bakhresa, nani anawajua? Kwanza watakuwa wazee na hawana mvuto wala nyota kwenye jamii, inshort ni hivyo, KLYN na ZARI ndio wanaoongoza kuzungumzwa kwa sasa mitandaoni
Mimi ninayeandika ndio najua nini watu wanataka kusikia, warumi sijawahi kukosea kwenye sekta ya udaku ata siku moja
Mbona unaweweseka mpwa? Mimi ndo nimetaja akina Dewji na Bakhresa! By the way, hivi wewe ulizungumzia ustaa au ulizungumzia kuolewa na tajiri? Ikiwa umesahau ulichaondika, rejea:Acha kuwa mvivu wa kufikir binamu, tunawazungumzia COUPLE maarufu ya mastaa, zari na k -lyn wanafahamika, pia ni wasichana warembo wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii, huyo mke wa rostam sijui na bakhresa, nani anawajua? Kwanza watakuwa wazee na hawana mvuto wala nyota kwenye jamii, inshort ni hivyo, KLYN na ZARI ndio wanaoongoza kuzungumzwa kwa sasa mitandaoni
Mimi ninayeandika ndio najua nini watu wanataka kusikia, warumi sijawahi kukosea kwenye sekta ya udaku ata siku moja
Kwahiyo, kigezo chako ni mtu kuolewa na tajiri ndipo anaitwa Bossylady, againa, warumu huyu hapa:Kama ilivyo ada kwa mke wa raisi kuitwa "FIRST LADY vivyo hivyo kwa mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY ". Kutokana na hali hiyo kuanzia sasa k-lyn anakuwa ndiye raisi wa ma bosslady wote afrika mashariki kutokana na pesa aliyonayo mumewe mzee reginald mengi.
Acha kuruka ruka mpwa, umechemka!mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY "
warumi mke wa Mengi sio mjinga kukaa kimya.Yeye bado ana share zake na mzee ana shida gani? Yule mama anajielewa, anajua anachokifanya.
Wee jamaa vp??? Unadhani kumshabikia ndomo ndo umefika au? Kwa taarifa yako mm nilikuwa napenda nyimbo za ndomo vibaya mno kura nilimpigia na nyimbo zake nyingi ninazo ila baada ya 'my number one'kapotea kutoka kwenye site yangu. Kiba ni mwanamuziki ana sauti nzuri na ndo maana nyimbo zake hazichoshi! Then jiangalie sana! Entertainment industry unajua wewe? Endelea kushabikia watu ----- wew! Naona unakomaa na entertainment entertainment!Narudia tena, wewe jamaa ni mshamba, hili jukwaa umevamia tu! Ikiwa wewe ni mtu wa burudani; iwe muziki, soka, filamu or else lazima kutakuwa na mtu unayemshabikia na kama hakuna, basi hili jukwaa umepotea njia na ndio maana hata hoja zako hazina mashiko coz' huonekani ikiwa unaifahamu entertainment industry!
Kuna siku nasikia alimkuta kwenye nyumba yake alimpiga vibao huyo hatari...machache akaona isiwe case akampangia apartment masaki anayoishi hadi leo
K -lyn ndo habari ya mujini hakuna cha zari wala wema
Miss Tanzania wa mwaka 2000 na mwanamuziki wa bongo fleva, jackline ntuyabaliwe aka k- lyn hatimaye amekuwa mke mke rasmi wa mfanyabiashara maarufu na TAJIRI nambar moja nchini, Reginald mengi baada ya kufunga ndoa iliyohudhiriwa na mastaa mbali mbali wa nchini ufaransa na Tanzania.
Kama ilivyo ada kwa mke wa raisi kuitwa "FIRST LADY vivyo hivyo kwa mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY ". Kutokana na hali hiyo kuanzia sasa k-lyn anakuwa ndiye raisi wa ma bosslady wote afrika mashariki kutokana na pesa aliyonayo mumewe mzee reginald mengi.
Awali kabla ya k-lyn kutwaa wadhifa huo, mwanamuziki na mfanyabiashara toka uganda ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond platnumz, zarinah hussein aka zari aliaminika ndiye anayeongoza kwa pesa kwa mastaa Africa mashariki. Kwa sasa hali imebadilika na taji hilo kuelekea kwa mwana mama mrembo K -lyn.
Hoja ya msingi k lyn bosslady