K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

Hahahaaa, keisangora bwana? Umenichekesha na kunifurahisha sana.
Ila nina uhakika jibu la pili hutolipenda...lol
Ila naona hukunielewa nilikua namaanisha nini tokea mwanzo.Hivi wewe utapenda kua na mwanamke ambaye hajishughulishi kisa wewe una mali?

Hapana kwanza ni hatari kwa wanangu maisha yao.nisipoenda shamba watt hawali,hawaendi shule na kuvaa vizuri na kupata standard lishe
 
Last edited by a moderator:
Hapana kwanza ni hatari kwa wanangu maisha yao.nisipoenda shamba watt hawali,hawaendi shule na kuvaa vizuri na kupata standard lishe

Mpaka hapa tupo pamoja.
Peace...have a good day.
 
Zari takataka tu mbele ya k Lyn,klyn ni noma
 
Mna wivu humu ebu tafuteni mkwanja kwanza watoto wazuri ni wapo tu mbele ya hela
 
Huyo Jacq amekuwa mke wa pili na TZ haitambui ndoa yao sababu bado kaoana na Mke wake ambae ndie mke halali wengine wote pembeni ni vimada.

Mbona hakufungia TZ basi angejaribu angekomaje.

Pesa ziko chinibya Mke the Mrs na watoto wake huyo hana say kwenye pesa za Mengi hata biashara....labda kwa kaxi ya wanawake wote wanaofanya na wanaume wawe maskini au matajiri.

So ongea jingine... Zari yeye hajaolewa na mume wa mtu.
 
Warumi anawashwa kutafuta mtu wa kumshusha Zari utazani kawa famous jana.

Sasa ndio nini kuwaingiza walioolewa na mababu na kuringanisha na Zari? Mmeshindwa kumfananishabtimu michirizi bosi mkakimbilia kwa wengine kisa....wivu.

Acheni kukuza majambo wakati Zari hana muda na nyie...anajua anaongelewa na hongera kwa kumpa kiki na inazidi kupanda.
 
Kuna siku nasikia alimkuta kwenye nyumba yake alimpiga vibao huyo hatari...machache akaona isiwe case akampangia apartment masaki anayoishi hadi leo

Yaan klyn mpaka leo kapangishiwa au??? Sijaelewaaa ●●●●●●♧
 

Aaargh binamu! Unalipwa nini, uyo Klynn unavompamba unataka mpaka tujione mafinyefinye, mfyuu zako!
 
Kama namuona Dinazarde anavyotamani kuwa mbeba mapochi wa k lyn, sema binamu yangu yule kwa umbea, ataharibu ndoa ya watu..

Klyn wakomeshe mtaa wa nne

Mmmhhhh heloooooooo
 
Last edited by a moderator:

Mkuu BOSSLADY ya Zari ina maana tofauti na unachokiandika hapa. Zari ya kwake inamaanisha "BUILT ON SELF SUCCESS LADY - BOSSLADY" Sasa sijui kama huyo K-Lyn ni BOSSLADY ya Zari. Na utofauti mwingine ni kwamba K-Lyn kashobokea kibabu ili arithi utajiri wa babu lakini Zari kamshobokea Diamond asiyekuwa na utajiri wa kuweza kumvutia au kumpita Zari. Halafu Zari hashobokei matajiri ndio maana haangaiki kurudiana na Ivan pamoja na utajiri alionao Ivan.
 

Nmekupenda buree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…