Wewe ni mtu wa kupuuzwa na hili jukwaa umelivamia manake ungekuwa ni mwenyeji wa hili jukwaa ungegundua kwamba kuna mashabiki kibao wa Kiba ambao wana-show love kwa Zari!
Lakin mkewe Mengi si washatengana kwani wanaishi pamoja,hapo klyn lazima ana chake
Halaf wengi husoma wakizidiwa wanakoment hhhhhhaaa
Hao uliowataja wana wanawake sio mke individuality na wala sio mastaa.Mpwa warumi hivi sasa inaelekea unaanza kuzeeka vibaya! Sasa kama hoja yako ndo hiyo, kwanini huyo Bosslady asiwe mke wa Mo Dewji? Au kwanini asiwe mke wa Rostam? Au kwanini asiwe mke wa Bakhresa?
Kariiibu sana.:A S 103:hahahaha, yani nilikua na browse jamii forum as a guest ila member wa hili jukwaa mmejifanya nijiunge, duuh kweli umbea mtamu, itabidi nijiunge tu humu warimu nawote wahumu
Yaani Dewji, Rostam na Bakhresa wana wanawake lakini Mengi kwa K-Lyn ndo ana mke? By the way, hoja yake it's as if kuwa mke wa tajiri ndo kuwa the bossy lady; hilo la ustaa unaliweka wewe!Hao uliowataja wana wanawake sio mke individuality na wala sio mastaa.
Ndoa ya kikristo haivunjuki.Aombe Mungu ampe maisha marefu mzee laa sivyo?.....
sijui mmekula maharage ya wapi nyie...mnadiscus ujinga ujinga
Muacheni bosslady mpya wa africa mashariki... ivi mke wa mengi yuko wapi jaman? Anavumilia yote haya? Pole yake
Khaaaaa!Sasa hapo imagine mzee yupo hai, akianguka je? Si hatari hii jamani.K-Lyn achange karata zake vizuri,shauri zake.
Mwezie Jokate naona alipiga hesabu akaona huu mziki hauwezi akaachia ngazi mapema.
Kumbe jidoti nae kapitiwamo na mzee duu!
Miss Tanzania wa mwaka 2000 na mwanamuziki wa bongo fleva, jackline ntuyabaliwe aka k- lyn hatimaye amekuwa mke mke rasmi wa mfanyabiashara maarufu na TAJIRI nambar moja nchini, Reginald mengi baada ya kufunga ndoa iliyohudhiriwa na mastaa mbali mbali wa nchini ufaransa na Tanzania.
Kama ilivyo ada kwa mke wa raisi kuitwa "FIRST LADY vivyo hivyo kwa mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY ". Kutokana na hali hiyo kuanzia sasa k-lyn anakuwa ndiye raisi wa ma bosslady wote afrika mashariki kutokana na pesa aliyonayo mumewe mzee reginald mengi.
Awali kabla ya k-lyn kutwaa wadhifa huo, mwanamuziki na mfanyabiashara toka uganda ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond platnumz, zarinah hussein aka zari aliaminika ndiye anayeongoza kwa pesa kwa mastaa Africa mashariki. Kwa sasa hali imebadilika na taji hilo kuelekea kwa mwana mama mrembo K -lyn.
Anna Nicole smith anatofauti gani na klyn .Babu MZEE huyoo.magonjwa ya prostate mara mto ukae hivi mara sisikii vizuri ,.BABU HUYO AKIJA KUFA GHAFLA analoMiss Tanzania wa mwaka 2000 na mwanamuziki wa bongo fleva, jackline ntuyabaliwe aka k- lyn hatimaye amekuwa mke mke rasmi wa mfanyabiashara maarufu na TAJIRI nambar moja nchini, Reginald mengi baada ya kufunga ndoa iliyohudhiriwa na mastaa mbali mbali wa nchini ufaransa na Tanzania.
Kama ilivyo ada kwa mke wa raisi kuitwa "FIRST LADY vivyo hivyo kwa mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY ". Kutokana na hali hiyo kuanzia sasa k-lyn anakuwa ndiye raisi wa ma bosslady wote afrika mashariki kutokana na pesa aliyonayo mumewe mzee reginald mengi.
Awali kabla ya k-lyn kutwaa wadhifa huo, mwanamuziki na mfanyabiashara toka uganda ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond platnumz, zarinah hussein aka zari aliaminika ndiye anayeongoza kwa pesa kwa mastaa Africa mashariki. Kwa sasa hali imebadilika na taji hilo kuelekea kwa mwana mama mrembo K -lyn.
Mkuu BOSSLADY ya Zari ina maana tofauti na unachokiandika hapa. Zari ya kwake inamaanisha "BUILT ON SELF SUCCESS LADY - BOSSLADY" Sasa sijui kama huyo K-Lyn ni BOSSLADY ya Zari. Na utofauti mwingine ni kwamba K-Lyn kashobokea kibabu ili arithi utajiri wa babu lakini Zari kamshobokea Diamond asiyekuwa na utajiri wa kuweza kumvutia au kumpita Zari. Halafu Zari hashobokei matajiri ndio maana haangaiki kurudiana na Ivan pamoja na utajiri alionao Ivan.
Huwa wananichekesha sana, utasikia;'hivi hamna kazi?','badala ya kujenga taifa mmekalia umbeya!';'kazi kujadili maisha ya watu tu!'....kah!
Nani hapendi umbeya alafu hili jukwaa la celebrities bwana hatujawafata majumbani kwao! Wakajambe mbele hukoo, halafu katika maisha ya kawaida wanaume wambeya sana kuliko wanawake ila wao wanajifanya wanaufanya kiustadi na kistaarabu pia hawasutani.😀