K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

Wewe ni mtu wa kupuuzwa na hili jukwaa umelivamia manake ungekuwa ni mwenyeji wa hili jukwaa ungegundua kwamba kuna mashabiki kibao wa Kiba ambao wana-show love kwa Zari!

Hawa ni watoka povu tu mkuu we hujawazoea?????? Siku zote wanatumia nguvu kufikiria kuliko akili.tehteh!!!
 
Halaf wengi husoma wakizidiwa wanakoment hhhhhhaaa

Huwa wananichekesha sana, utasikia;'hivi hamna kazi?','badala ya kujenga taifa mmekalia umbeya!';'kazi kujadili maisha ya watu tu!'....kah!
Nani hapendi umbeya alafu hili jukwaa la celebrities bwana hatujawafata majumbani kwao! Wakajambe mbele hukoo, halafu katika maisha ya kawaida wanaume wambeya sana kuliko wanawake ila wao wanajifanya wanaufanya kiustadi na kistaarabu pia hawasutani.😀
 
:A S 103:hahahaha, yani nilikua na browse jamii forum as a guest ila member wa hili jukwaa mmejifanya nijiunge, duuh kweli umbea mtamu, itabidi nijiunge tu humu warimu nawote wahumu
 
Last edited by a moderator:
Mpwa warumi hivi sasa inaelekea unaanza kuzeeka vibaya! Sasa kama hoja yako ndo hiyo, kwanini huyo Bosslady asiwe mke wa Mo Dewji? Au kwanini asiwe mke wa Rostam? Au kwanini asiwe mke wa Bakhresa?
Hao uliowataja wana wanawake sio mke individuality na wala sio mastaa.
 
Last edited by a moderator:
:A S 103:hahahaha, yani nilikua na browse jamii forum as a guest ila member wa hili jukwaa mmejifanya nijiunge, duuh kweli umbea mtamu, itabidi nijiunge tu humu warimu nawote wahumu
Kariiibu sana.
Utafiti wa kisayansi umeprove, wambeya wanaishi miaka mingi kweli....😀😀😀
 
Last edited by a moderator:
Hao uliowataja wana wanawake sio mke individuality na wala sio mastaa.
Yaani Dewji, Rostam na Bakhresa wana wanawake lakini Mengi kwa K-Lyn ndo ana mke? By the way, hoja yake it's as if kuwa mke wa tajiri ndo kuwa the bossy lady; hilo la ustaa unaliweka wewe!
 
Ndoa ya kikristo haivunjuki.Aombe Mungu ampe maisha marefu mzee laa sivyo?.....

Inavunjika mahakamani vizuri tu!!kanisani ndo hawavunji,(tena ni baadhi ya makanisa na inategemea na sababu)BT ikishavunjwa mahakamani inakua imeshapoteza uhalali!!!
Na ya serikali inatambuliwa..

So hii ndo inatambuliwa sasa kisheria.
Kwa maana nyingine huyo mke WA 1 kisheria Hana uhalali wowote ht akienda na cheti chake cha ndo mahakamani hakitamsaidia!
 
Muacheni bosslady mpya wa africa mashariki... ivi mke wa mengi yuko wapi jaman? Anavumilia yote haya? Pole yake

Swali zuri hata mimi linanitatiza sana! Mwenye majibu jamani atusaidie.
 
Khaaaaa!Sasa hapo imagine mzee yupo hai, akianguka je? Si hatari hii jamani.K-Lyn achange karata zake vizuri,shauri zake.
Mwezie Jokate naona alipiga hesabu akaona huu mziki hauwezi akaachia ngazi mapema.

Kumbe jidoti nae kapitiwamo na mzee duu!
 
Kumbe jidoti nae kapitiwamo na mzee duu!

Ivi madam rhita kwa nini aliichezea hii bahati?nasikia tokea haya mauzauza yaanze sijui mapacha mara maengagement Dubai sijui manini...kwake ni kama msumari wa moto katikati ya mtima....hata BSS kwisha habari yake yaani hata kama ipo support aliyokuwa anapata ItV Ni tofauti na sasa..wote tumpe pole yake na hii yote ni mtu kujisahau akidhani yeye ndo cute pekee.....wapiiiiiiii bi dada ndo basi tena anza tu kuwa sugarmamy kuhonga zizidi kukutoka.....ulimpata mzee wa watu akakuweka kwenye dunia ya kushain though ulikuwa navyo but compare ulivyokuwa nae macho yakawa juu ukashindwa kumheshimu..unaona chombo alichoenda kuvumbua?that is mr.MACHACHE....HAONGEI saana PESA inamwongelea! Na pale klne hajafata mapenzi ukubari ukatae kafata pesa.....mi nampongeza mana kwa hali ya sasa unakuwa na agemate lakini stress atakazokupa!sasa maana ya maisha inakuwa wapi walau kyline anakunja sura usiku mchana anacheka na gudlife.....na huenda tunapoongea hapa ac yake inatapika!......kyline GO go gooooo!!
 
Miss Tanzania wa mwaka 2000 na mwanamuziki wa bongo fleva, jackline ntuyabaliwe aka k- lyn hatimaye amekuwa mke mke rasmi wa mfanyabiashara maarufu na TAJIRI nambar moja nchini, Reginald mengi baada ya kufunga ndoa iliyohudhiriwa na mastaa mbali mbali wa nchini ufaransa na Tanzania.

Kama ilivyo ada kwa mke wa raisi kuitwa "FIRST LADY vivyo hivyo kwa mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY ". Kutokana na hali hiyo kuanzia sasa k-lyn anakuwa ndiye raisi wa ma bosslady wote afrika mashariki kutokana na pesa aliyonayo mumewe mzee reginald mengi.

Awali kabla ya k-lyn kutwaa wadhifa huo, mwanamuziki na mfanyabiashara toka uganda ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond platnumz, zarinah hussein aka zari aliaminika ndiye anayeongoza kwa pesa kwa mastaa Africa mashariki. Kwa sasa hali imebadilika na taji hilo kuelekea kwa mwana mama mrembo K -lyn.

Wikipedia wamemwandika yupo worth 500 million dollars .wafanyakazi kibao .Loan huko uk in terms of pounds .Kwani anamiliki nini. ( cocacola ya mmarekani ,ITV uk ) yeye muuzaji tu .hongera zake kwa kufunga NDOA
 
Miss Tanzania wa mwaka 2000 na mwanamuziki wa bongo fleva, jackline ntuyabaliwe aka k- lyn hatimaye amekuwa mke mke rasmi wa mfanyabiashara maarufu na TAJIRI nambar moja nchini, Reginald mengi baada ya kufunga ndoa iliyohudhiriwa na mastaa mbali mbali wa nchini ufaransa na Tanzania.

Kama ilivyo ada kwa mke wa raisi kuitwa "FIRST LADY vivyo hivyo kwa mke wa tajiri jina hubadilika na kuwa "BOSSLADY ". Kutokana na hali hiyo kuanzia sasa k-lyn anakuwa ndiye raisi wa ma bosslady wote afrika mashariki kutokana na pesa aliyonayo mumewe mzee reginald mengi.

Awali kabla ya k-lyn kutwaa wadhifa huo, mwanamuziki na mfanyabiashara toka uganda ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond platnumz, zarinah hussein aka zari aliaminika ndiye anayeongoza kwa pesa kwa mastaa Africa mashariki. Kwa sasa hali imebadilika na taji hilo kuelekea kwa mwana mama mrembo K -lyn.
Anna Nicole smith anatofauti gani na klyn .Babu MZEE huyoo.magonjwa ya prostate mara mto ukae hivi mara sisikii vizuri ,.BABU HUYO AKIJA KUFA GHAFLA analo
 
muhogo Wa jang'ombeeee ,sijaulamba mwikooo usitukane wazeee wakati pesa waitaka.
 
Mkuu BOSSLADY ya Zari ina maana tofauti na unachokiandika hapa. Zari ya kwake inamaanisha "BUILT ON SELF SUCCESS LADY - BOSSLADY" Sasa sijui kama huyo K-Lyn ni BOSSLADY ya Zari. Na utofauti mwingine ni kwamba K-Lyn kashobokea kibabu ili arithi utajiri wa babu lakini Zari kamshobokea Diamond asiyekuwa na utajiri wa kuweza kumvutia au kumpita Zari. Halafu Zari hashobokei matajiri ndio maana haangaiki kurudiana na Ivan pamoja na utajiri alionao Ivan.

Unajisoma unavyoandika? Zile mali za zari kapewa na baba yake au shangazi yake? Nfyuu kajifunze vzur umbea ndo urudi tena apa
 
Huwa wananichekesha sana, utasikia;'hivi hamna kazi?','badala ya kujenga taifa mmekalia umbeya!';'kazi kujadili maisha ya watu tu!'....kah!
Nani hapendi umbeya alafu hili jukwaa la celebrities bwana hatujawafata majumbani kwao! Wakajambe mbele hukoo, halafu katika maisha ya kawaida wanaume wambeya sana kuliko wanawake ila wao wanajifanya wanaufanya kiustadi na kistaarabu pia hawasutani.😀

Una undugu na khadija kopa? Sio kwa michambo hii, I love youuu 🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom