K -lyn ana bahati kuliko wanawake wote afrika mashariki
On her own kivip wakat pesa source ni mume wake ivan?
K -lyn ana bahati kuliko wanawake wote afrika mashariki
Mama ubaya kimyaaa maskini namuoneaje huruma,Ata ku post insta hongera ya kinafki kashindwa wakati walikuwa mashost mmh
shauri yake!
jak hana ushoga na vituko vituko we ona kwanza rafiki zake wana status km yy
Na wala hautakaa uje kuiona hiyo point...Sijaona big point apa kuhusu hyo bosslady unayo ijaribu kuipa maana tofauti wakati all in all its the same
Nimewaona akina nancy, nasreem na faraja kota, wale sio level za mama ubaya. Mtu ukijiheshimu na kujielewa lazima watu wanaokuzunguka wawe kama wewe, unadhani angekuwa machepele mengi angemuoa?
Sina source, nipeleke polisi basi nikalipe faini ya million 3,maana nina pesa nyingi zinaniwasha
Sina source, nipeleke polisi basi nikalipe faini ya million 3,maana nina pesa nyingi zinaniwasha
Nijenge hoja kwani apa bungeni??