K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

wanaume hawaridhikagi na mmoja! tena hawa mapedeshee wenye mipesa mingi ndio balaa kabisa..k-lyn ang'ang'ane chake kionekane kabisa siku ya siku ikifikaaaa......!!!!!!
 
Habari hii no Kwa hisani ya nani?!una vivid source kudhibitisha usemalo?!
 
Mama ubaya kimyaaa maskini namuoneaje huruma,Ata ku post insta hongera ya kinafki kashindwa wakati walikuwa mashost mmh

shauri yake!
jak hana ushoga na vituko vituko we ona kwanza rafiki zake wana status km yy
 
shauri yake!
jak hana ushoga na vituko vituko we ona kwanza rafiki zake wana status km yy

Nimewaona akina nancy, nasreem na faraja kota, wale sio level za mama ubaya. Mtu ukijiheshimu na kujielewa lazima watu wanaokuzunguka wawe kama wewe, unadhani angekuwa machepele mengi angemuoa?
 
mtaongea weeee,lakini mchepuko a.k.a Serengeti wa K-lyn ndio anafaidi!!!sidhani kama babu anapiga mashine vya kutosha
 
Nimewaona akina nancy, nasreem na faraja kota, wale sio level za mama ubaya. Mtu ukijiheshimu na kujielewa lazima watu wanaokuzunguka wawe kama wewe, unadhani angekuwa machepele mengi angemuoa?

si jokate,ritha wote wameshindwa
kakamata fursaa!!
 
Hapa hamna cha timu k-lyn wala wema! Wema anajidhalilisha sanaa! Saivi naskia anaitwa wanjera!? Hoyce temu,faraja kota,k lyn mbona walitwaa tuzo na wala huezi jua kama wapo hapa nchini.
 
Hapa hamna cha timu k-lyn wala wema! Wema anajidhalilisha sanaa! Saivi naskia anaitwa wanjera!? Hoyce temu,faraja kota,k lyn mbona walitwaa tuzo na wala huezi jua kama wapo hapa nchini.

Wanjera my foot, akafie uko
 
Nijenge hoja kwani apa bungeni??

Ujue binamu unapanikisha watuuu!
Sawa na yule nduguyako Dinazarde, a.k.a mwajuma ndala ndefu, yani nlipoanzaga kuchangia chochote alikuaga ananipanikisha kweli na kunijambisha! Nilivojua mwenzangu anatoa stress tu na yanabaki humuhumu nikawa nmegraduate kabisaa
Mfyuu zako utaua watu kwa majibu yako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom