Wanjera my foot, akafie uko
Magereza yote wananijua warumi, mie staff mtafungwa nyie
Ujue binamu unapanikisha watuuu!
Sawa na yule nduguyako Dinazarde, a.k.a mwajuma ndala ndefu, yani nlipoanzaga kuchangia chochote alikuaga ananipanikisha kweli na kunijambisha! Nilivojua mwenzangu anatoa stress tu na yanabaki humuhumu nikawa nmegraduate kabisaa
Mfyuu zako utaua watu kwa majibu yako.
Hata mengi nae sio mjinga, k lyn atakua na fungu lake zuri tu na mpacha wake, jaman watu wana bahati nyie sijawahi kuona, mungu ambariki kwa kweli
Alafu kaharibu video, mreeefu kama ngongoti! Mwili mzitooo kucheza wala hajui bora wangewaleta wale mavideo queen wa 20%.
Ommy hajaamini wema kamoa mkosi balaaa
Nilikuaga nakupanikisha niniii kipindi gani hicho shogaa hhhhaaaaaaa warumi kanichekeshaa
Ommy hajaamini wema kamoa mkosi balaaa
Kamoa ndio nini jamani...napitwa mie
Kamoa ndio nini jamani...napitwa mie
Hapa kamaanisha kampa.
We si unajua dina anazimuaga konyagi.so hapo ashakuwa high.
Hapa kamaanisha kampa.
We si unajua dina anazimuaga konyagi.so hapo ashakuwa high.
Ni kampa bana
Ban tu nimekula za kitosha, mpaka nikawa natamani kulia sasa
Tuone bas hata picha ya kile anachomiliki huyu new boss wa afrika mashariki