K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

Ila mtu unafananishaje pesa za kujichumia na za kupata kwa kuwa mke wa pili na hauna mamlaka katika maamuzi ya biashara za mumeo?

Hata kama mume labda niseme yupo namba moja ktk forbes list wewe unakuwa unadubiria zile zake yaani sio za familia ndio uishi.

So wanautofauthata kama Zari labda hayupo kwa list hiyo yeye na akili zake etc yupo juuu

Na uzuri pia.
 
Ujue binamu unapanikisha watuuu!
Sawa na yule nduguyako Dinazarde, a.k.a mwajuma ndala ndefu, yani nlipoanzaga kuchangia chochote alikuaga ananipanikisha kweli na kunijambisha! Nilivojua mwenzangu anatoa stress tu na yanabaki humuhumu nikawa nmegraduate kabisaa
Mfyuu zako utaua watu kwa majibu yako.

Nilikuaga nakupanikisha niniii kipindi gani hicho shogaa hhhhaaaaaaa warumi kanichekeshaa
 
Last edited by a moderator:
Hata mengi nae sio mjinga, k lyn atakua na fungu lake zuri tu na mpacha wake, jaman watu wana bahati nyie sijawahi kuona, mungu ambariki kwa kweli

Moto wa wachaga tena wasomi ni mkali... Cha maana Baba Mengi aweke mambo clear mapema kabla giza halijaingia maana Klyn aweza jionea mauzauza hapo
Mke wa Mengi na watoto wake wamekaa kimya maana washapanga mahesabu yao
 
Nilikuaga nakupanikisha niniii kipindi gani hicho shogaa hhhhaaaaaaa warumi kanichekeshaa

Haaa yalipita nshasahau ila nakumbuka majibu yako we mwanamke kaaah! Huyu warumi atanyea debe muda sio mrefuuu, chezeya cyber crime!
 
Last edited by a moderator:
Haaa yalipita nshasahau ila nakumbuka majibu yako we mwanamke kaaah! Huyu warumi atanyea debe muda sio mrefuuu, chezeya cyber crime!

Hhhhhaaaa nakumbuka kuna kipindi moto ulikua unawaka humu lol warumi alikua anakula kila siku ban halaf kuna mbea mpya kajiunga kisa warumi
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhaaaa nakumbuka kuna kipindi moto ulikua unawaka humu lol warumi alikua anakula kila siku ban halaf kuna mbea mpya kajiunga kisa warumi

Ban tu nimekula za kitosha, mpaka nikawa natamani kulia sasa
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa warumi we kiboko!
Yaani nimecheka leo jamani loll!
Si kwa mashushu hayo aiseee..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom