K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

Wivu tu na roho za kichawi unakusumbuwa.

Dada zangu Marekani wanalalamika wananyolewa nywele kichawi usiku sikuamini kumbe wanga mpo na mnajionesha dhahiri. wenzenu wamerithi pesa na mali nyinyi mmelisishwa uchawi. Mfyuuuuuu.
 
Wewe ndio mchawi ukweli lazima usemeke...maeneo aliyokulia Klyn nami nimekulia so kabla hujabwatuka uchawi jiangalie...labda weye ulikuwa kwenye ile servants kota ya mume wa mamaa unamtea juzi re ugomvi na Mange....bora ukae imya haujui unaongea na nani na labda nimekulisha katik apita njia zako.

ukweli ni ukweli

subiri uone nduguyo au aliyekuleta duniani anatoka na dogodogo na mkewe yupo ndio utaona...hata ukiona jirani uliyemuheshimu nayo lazima itakukamata.

Hao dada zako hawamjui Mungu na ndio maana wanateseka mrudieni Mungu, wajiangalie labda wamechezea watu nao wanayapata....na muache kutukana watu msio wajua maana haujui unamtukana nani. saa nyingine na ukoo unabidi kujisafisha malaana ya mababu....

mie nawajua wote wa kule na wa huku na wa kule....so usidhani watu wakiwa kimya tunamezea habari live exclusive hatujui tufanyalo...

bado narudia pesa ya kupewa sio kama ya kuitafuta mwenyewe. Nenda kawasalie dada zako waambie watubu dhambi...mengine uliyotenda urudia mtendaji...habari ndio hiyo
 
Hahahahah Wanawake mmesahau mnavyodaigi Urithi kwa kuwa wake tu ? ukiulizwa nini eti nilikuwa nalea na kupika pyuu wanawake Matapeli sana mtoto wa mwanamke mwenzio achakarike weeeee , kazi yako kujiremba tu halafu unasema Jasho lenu ? Kiruuuu tafuteni vyenu , nikifika hapo namfagiliaga sana Mama Mzungu na Mitumba yake , Biashara yake mwaya , Jasho lake ,
 
Khaaaaa! Nyasamaki wewe wa ajabu sana ujue? Haya maelezo mbona yanapingana na nilichokisema? Jaribu kurudia tena maana naona hujaelewa nilichokua namaanisha.
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaa! Nyasamaki wewe wa ajabu sana ujue? Haya maelezo mbona yanapingana na nilichokisema? Jaribu kurudia tena maana naona hujaelewa nilichokua namaanisha.

Jamanii napita tu naelekea kwa mama lishe lunch time, karibu binamu
 
Last edited by a moderator:
Jamanii napita tu naelekea kwa mama lishe lunch time, karibu binamu

Hahahaaa, asante binamu ngoja nije kula ugali dagaa na tembele mchana huu.Au wewe unakula nini?
 
Khaaaaa! Nyasamaki wewe wa ajabu sana ujue? Haya maelezo mbona yanapingana na nilichokisema? Jaribu kurudia tena maana naona hujaelewa nilichokua namaanisha.

Nimekuelewa vizuri sana Nifah ndio maana ninakulike , Maelezo yangu yalikuwa yanasapoti point yako ya kushangaa kwa nini ujiite Milionea kwa Pesa ya Mume wakati wewe hufanyi chochote !
 
Nimekuelewa vizuri sana Nifah ndio maana ninakulike , Maelezo yangu yalikuwa yanasapoti point yako ya kushangaa kwa nini ujiite Milionea kwa Pesa ya Mume wakati wewe hufanyi chochote !

Ooh! Am sorry my dear, labda sikukuelewa vizuri.
Ni ukweli usiofichika kua wanawake wengi wakishaolewa na wanaume wanaojiweza basi ni mwendo wa show off za kufa mtu na kusahau kama kuna future mbaya zaidi mume akitangulia mbele ya haki mapema.
 
.
Hilo kwa sheria za Tanzania yeye ni hawala,mzee Mengi kakwepa kesi ya jinai kwa kwenda kufunga ndoa nje ya nchi kwani kwa hapa nchini kuoa mke wa pili wakati ulikula kiapo cha mke mmoja ni kosa la jinai. Ila watoto aliozaa na huyu miss haina shida kwani sheria ya mtoto ya 2009 imeondoa kitu mtoto haramu. Watoto wote ni wana haki ya kuridhi iwe wa ndani ya ndoa au la cha msingi alijulikana kabla ya marehemu.
 
Ooh! Am sorry my dear, labda sikukuelewa vizuri.
Ni ukweli usiofichika kua wanawake wengi wakishaolewa na wanaume wanaojiweza basi ni mwendo wa show off za kufa mtu na kusahau kama kuna future mbaya zaidi mume akitangulia mbele ya haki mapema.

Natamani k -lyn angekuwa dada yangu jamani nifaidi mali za shemeji
 
Umetoboa mule mule yan.
#ThankYou .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…