Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mtu unafananishaje pesa za kujichumia na za kupata kwa kuwa mke wa pili na hauna mamlaka katika maamuzi ya biashara za mumeo?
Hata kama mume labda niseme yupo namba moja ktk forbes list wewe unakuwa unadubiria zile zake yaani sio za familia ndio uishi.
So wanautofauthata kama Zari labda hayupo kwa list hiyo yeye na akili zake etc yupo juuu
Na uzuri pia.
Wivu tu na roho za kichawi unakusumbuwa.
Dada zangu Marekani wanalalamika wananyolewa nywele kichawi usiku sikuamini kumbe wanga mpo na mnajionesha dhahiri. wenzenu wamerithi pesa na mali nyinyi mmelisishwa uchawi. Mfyuuuuuu.
Hivi mume akiwa tajiri na mke naye anakua tajiri automatically?Zari ni tajiri maana ana biashara zake na hata zile za mumewe ana share yake kwa ninavyosikia.Huyo K-Lyn achakarike naye apate share au biashara zake.Asijibweteke kisa kazaa na mzee Mengi.
Hahahahah Wanawake mmesahau mnavyodaigi Urithi kwa kuwa wake tu ? ukiulizwa nini eti nilikuwa nalea na kupika pyuu wanawake Matapeli sana mtoto wa mwanamke mwenzio achakarike weeeee , kazi yako kujiremba tu halafu unasema Jasho lenu ? Kiruuuu tafuteni vyenu , nikifika hapo namfagiliaga sana Mama Mzungu na Mitumba yake , Biashara yake mwaya , Jasho lake ,
Jamanii napita tu naelekea kwa mama lishe lunch time, karibu binamu
Muacheni bosslady mpya wa africa mashariki... ivi mke wa mengi yuko wapi jaman? Anavumilia yote haya? Pole yake
Khaaaaa! Nyasamaki wewe wa ajabu sana ujue? Haya maelezo mbona yanapingana na nilichokisema? Jaribu kurudia tena maana naona hujaelewa nilichokua namaanisha.
Nimekuelewa vizuri sana Nifah ndio maana ninakulike , Maelezo yangu yalikuwa yanasapoti point yako ya kushangaa kwa nini ujiite Milionea kwa Pesa ya Mume wakati wewe hufanyi chochote !
.Wameshakuwa mwili mmoja, mali zote zitakazopatikana kuanzia sasa ni za k -lyn na mengi achilia mali walizochuma na mke wake, hakika jack kabarikiwa kuliko wanawake wote africa mashariki, wakina mwafulan ndo mtulie muache umalaya maana mmezidi wenzenu hao mabilionea
Ooh! Am sorry my dear, labda sikukuelewa vizuri.
Ni ukweli usiofichika kua wanawake wengi wakishaolewa na wanaume wanaojiweza basi ni mwendo wa show off za kufa mtu na kusahau kama kuna future mbaya zaidi mume akitangulia mbele ya haki mapema.
Hivi mume akiwa tajiri na mke naye anakua tajiri automatically?Zari ni tajiri maana ana biashara zake na hata zile za mumewe ana share yake kwa ninavyosikia.Huyo K-Lyn achakarike naye apate share au biashara zake.Asijibweteke kisa kazaa na mzee Mengi.
Natamani k -lyn angekuwa dada yangu jamani nifaidi mali za shemeji
I am humbled!
Mmmh.......