K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

K-Lyinn amfunga mdomo Zari kwa Pesa

Ni kweli kuolewa na tajiri ni bahati, lakini swali linakuja unaitumiaje ile bahati?
Hahahaaa, warumi unanichekesha sana leo.

Kama namuona Dinazarde anavyotamani kuwa mbeba mapochi wa k lyn, sema binamu yangu yule kwa umbea, ataharibu ndoa ya watu..

Klyn wakomeshe mtaa wa nne
 
Last edited by a moderator:
Kama namuona Dinazarde anavyotamani kuwa mbeba mapochi wa k lyn, sema binamu yangu yule kwa umbea, ataharibu ndoa ya watu..

Klyn wakomeshe mtaa wa nne

Hahahaaa,atatoa siri za mzee na Jack. ..lol
 
Last edited by a moderator:
Mbona unaweweseka mpwa? Mimi ndo nimetaja akina Dewji na Bakhresa! By the way, hivi wewe ulizungumzia ustaa au ulizungumzia kuolewa na tajiri? Ikiwa umesahau ulichaondika, rejea:
Kwahiyo, kigezo chako ni mtu kuolewa na tajiri ndipo anaitwa Bossylady, againa, warumu huyu hapa:Acha kuruka ruka mpwa, umechemka!

Nazungumzia mastaa waliolewa na matajiri, hao akina mke wa dewji sijui mengi unawajua wewe, mimi siwajui na kwenye udaku wangu sina pa kuwatumia
 
Last edited by a moderator:
Wee jamaa vp??? Unadhani kumshabikia ndomo ndo umefika au? Kwa taarifa yako mm nilikuwa napenda nyimbo za ndomo vibaya mno kura nilimpigia na nyimbo zake nyingi ninazo ila baada ya 'my number one'kapotea kutoka kwenye site yangu. Kiba ni mwanamuziki ana sauti nzuri na ndo maana nyimbo zake hazichoshi! Then jiangalie sana! Entertainment industry unajua wewe? Endelea kushabikia watu ----- wew! Naona unakomaa na entertainment entertainment!
Ngoja nikuulize swali moja Hivi unafikiri watu hatuwezi kutukana, au?
 
Nazungumzia mastaa waliolewa na matajiri, hao akina mke wa dewji sijui mengi unawajua wewe, mimi siwajui na kwenye udaku wangu sina pa kuwatumia
Kwenye thread yako umesema mastaa? Unaonaje basi uki-edit thread yako kisha tujikite kwenye u-boss lady peke yake?
 
Khaaaaa!Sasa hapo imagine mzee yupo hai, akianguka je? Si hatari hii jamani.K-Lyn achange karata zake vizuri,shauri zake.
Mwezie Jokate naona alipiga hesabu akaona huu mziki hauwezi akaachia ngazi mapema.

Usimkatishe tamaa mwenzio bhana, jokate umalaya wake ndo umemponza..

Ivi binamu ninavyojua watu hufunga ndoa kwenye makanisa wanayosali, sasa akina mengi naona wamefunga ndoa Mauritius sijui, ina maana ndo walikuwa wanasali uko? au ndo hayatuhusu au mambo ya fedha? Nisaidie labda mie mshamba ivoo
 
Wameshakuwa mwili mmoja, mali zote zitakazopatikana kuanzia sasa ni za k -lyn na mengi achilia mali walizochuma na mke wake, hakika jack kabarikiwa kuliko wanawake wote africa mashariki, wakina mwafulan ndo mtulie muache umalaya maana mmezidi wenzenu hao mabilionea

Wakubwa wanafaidi sana. Kiuhalisia K Lyn ni age mate wetu. Kwa maana mumewe angepaswa awe katika range ya miaka35-45 hivi, age ambayo wengi tunaangukia humo, lakini hatuna ukwasi, mzee katuwahi.,
By the way hongera zao kwa kufunga ndoa ndo jambo la Msingi!
 
sijui mmekula maharage ya wapi nyie...mnadiscus ujinga ujinga
 
Bold black: Hii taarifa imekaa kimbea na kinafiki sana na haina ukweli wowote.
FYI: Tajiri namba moja nchini Tanzania ni Mohammed Dewji. Mengi ni tajiri namba 4.

Ahsante,ila bado anabaki kuwa TAJIRI, samahani kwa kukukwaza 🏃🏃🏃🏃
 
Ujue Jack angekua mke wa kwanza kwa Mengi wala nisingepingana na wewe hapa warumi ila inabidi atumie akili sana.
Ahakikishe kua kama ni nyumba awe na risiti yeye tena zenye majina ya wanae na yeye pia na biashara vile vile awe na share zake au umiliki wa 100%.

Yani wanawake mnawaza mali tu ndo mana siku hatutaki kuwaoa,yani akili zote zipo kwenye mali.yani nikijua ndo akili yako tunaanza kupanga nyumba na ninakuambia tuaNze upya kabisa yani ndo sh ianzwe kutafuta.

Nyie ndo hamkawahii kuwashauri wenzenu watupe limbwata na yule ni mhaya lazima ampe kitu myoke.

Awev na share kwani kawekamo mtaji wa sh.ngapi; tena ukija kwangu unaanza kuulizia risiti nakuuliza kuwa umezijenga.hiyo share ya biashara unaambiwa ni ya ukoo mie ndo mwenyekiti na haina mahusiano namie.inashughulikia matatizo ya ukoo wetu.

Yani umemkuta mme anazo ghorofa zake afu uanze kuulizia kodi zake zinaenda wapi.

Ww umeolewa na umempenda mwanaume au umefuata mali.

Yani nyie ni bidhaa umekuwa.na ikiwa na ivyo nina uwezo wa kugawa malli zangu afu ndo tupange ya matope.nyie ndo mkichumbiwa eti unafanya kazi gani ww mwemyewe hauna mbele wala nyuma.

Umeniboa ww mwanamke yani ww ,umeniboaje ndo utamshauri amuue mzee wa watu ili azitumie vizuri kwani hamuui wanaume ili utajiri wake uende kwenu na ndo mana ndugu wa mme wakija unavimbaje hapo ndani wewe unataka wa kwenu ndo wajazane hapo mnakuwa kama amekuoa ww na ukoo wenu
 
Last edited by a moderator:
Usimkatishe tamaa mwenzio bhana, jokate umalaya wake ndo umemponza..

Ivi binamu ninavyojua watu hufunga ndoa kwenye makanisa wanayosali, sasa akina mengi naona wamefunga ndoa Mauritius sijui, ina maana ndo walikuwa wanasali uko? au ndo hayatuhusu au mambo ya fedha? Nisaidie labda mie mshamba ivoo

Hahahaaa,binamu nasikia Mauritius wanaruhusu kufungisha ndoa baina ya mtalaka na ambaye hajawahi kuoa/kuolewa kama mzee Mengi na K-Lyn wake.
Kwani nyie wakristo kivyovyote isingewezekana kwa mzee kuoa tena maana nasikia ndoa zenu hazivunjiki.Ingebidi wafunge ya bomani mzee akaona sio issue pesa ipo wakaenda zao Mauritius.
Hivyo ndivyo ninavyojua mimi binamu.
 
Yani wanawake mnawaza mali tu ndo mana siku hatutaki kuwaoa,yani akili zote zipo kwenye mali.yani nikijua ndo akili yako tunaanza kupanga nyumba na ninakuambia tuaNze upya kabisa yani ndo sh ianzwe kutafuta.

Nyie ndo hamkawahii kuwashauri wenzenu watupe limbwata na yule ni mhaya lazima ampe kitu myoke.

Awev na share kwani kawekamo mtaji wa sh.ngapi; tena ukija kwangu unaanza kuulizia risiti nakuuliza kuwa umezijenga.hiyo share ya biashara unaambiwa ni ya ukoo mie ndo mwenyekiti na haina mahusiano namie.inashughulikia matatizo ya ukoo wetu.

Yani umemkuta mme anazo ghorofa zake afu uanze kuulizia kodi zake zinaenda wapi.

Ww umeolewa na umempenda mwanaume au umefuata mali.

Yani nyie ni bidhaa umekuwa.na ikiwa na ivyo nina uwezo wa kugawa malli zangu afu ndo tupange ya matope.nyie ndo mkichumbiwa eti unafanya kazi gani ww mwemyewe hauna mbele wala nyuma.

Umeniboa ww mwanamke yani ww ,umeniboaje ndo utamshauri amuue mzee wa watu ili azitumie vizuri kwani hamuui wanaume ili utajiri wake uende kwenu na ndo mana ndugu wa mme wakija unavimbaje hapo ndani wewe unataka wa kwenu ndo wajazane hapo mnakuwa kama amekuoa ww na ukoo wenu

Hahahaaa,ujue imenidi nicheke tu maana umemwaga povu sio kidogo.
Hivi wewe kwa akili zako unaona K-Lyn kafuata nini kwa yule mzee? Ana mapenzi gani ya ajabu sana hadi aamue kutulia naye hadi kuzaa na kuolewa naye kabisa?
Huo ndio ukweli kwenye pesa ndipo watoto wazuri wanakotulia.Wewe mwaga povu lako hapa utajijua mwenyewe.
 
Tena wewe keisangora ndio type ya wanaume ambao hamfai katika jamii.Hua mnapenda mkioa wanawake wambweteke tu kisa nyie mna mali.

Mimi hapa naongelea kuhusu K-Lyn kuchakarika naye awe na biashara zake ambazo zitamsaidia baadaye na wanae maana hakuna asiyejua ukatili wa upande wa ndugu wa mume pale ndugu yao anapofariki hasa kama mwanaume mwenyewe ni kama Mengi ambaye huyo K-Lyn sio mke wake wa kwanza wala wa pekee.Leo hii asipokua na miradi yake ikitokea huyo mzee akafa (simuombei ubaya ila ya Mungu mengi)...Hao watoto atawapeleka wapi?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa,ujue imenidi nicheke tu maana umemwaga povu sio kidogo.
Hivi wewe kwa akili zako unaona K-Lyn kafuata nini kwa yule mzee? Ana mapenzi gani ya ajabu sana hadi aamue kutulia naye hadi kuzaa na kuolewa naye kabisa?
Huo ndio ukweli kwenye pesa ndipo watoto wazuri wanakotulia.Wewe mwaga povu lako hapa utajijua mwenyewe.

Namie imebidi nicheke kwa jinsi ulivyonijibu simple sana afu kwa uwazi afu hauna stress imebidi unichekeshe so cmwagi povu saivi.

I declare kwa jibu hilo nimekupenda mana namie umenifanya nicheke kwanza.

Hahhhahaaaaaaaaaaa
 
Hahahaaa, keisangora bwana? Umenichekesha na kunifurahisha sana.
Ila nina uhakika jibu la pili hutolipenda...lol
Ila naona hukunielewa nilikua namaanisha nini tokea mwanzo.Hivi wewe utapenda kua na mwanamke ambaye hajishughulishi kisa wewe una mali?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom